mariam steven mgonglwa
Member
- Oct 18, 2017
- 24
- 5
Habari zajion wana jamii tafadhali mwenyekujua tiba ya kukabwa koo ndug zangu anisaidie nimezunguka ospitar ya kwanz niliambiwa minyoo ospitar ya pili sikuambiwa tatizo nilichomwa sindano ya gerndmosen na crespeni tatizo bado linanisumbua asanteni