Msada wa tiba ya kukabwa koo

Msada wa tiba ya kukabwa koo

Joined
Oct 18, 2017
Posts
24
Reaction score
5
Habari zajion wana jamii tafadhali mwenyekujua tiba ya kukabwa koo ndug zangu anisaidie nimezunguka ospitar ya kwanz niliambiwa minyoo ospitar ya pili sikuambiwa tatizo nilichomwa sindano ya gerndmosen na crespeni tatizo bado linanisumbua asanteni
 
Ospitar like Really???? Ugua pole mariam jaribu kuonana na ma waganga waliobobea jaribu agakhan pia wako vizuri
 
Back
Top Bottom