Msada watalamu wa afya (matabibu)

kuuuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
590
Reaction score
511
Nina tatzo la kichemba juu ya tumbo wasukuma wanasema (kagembe)panauma sana mda mwingne mpka nyuma ya mgongo pia choo kinakuwa kigumu sana tumbo kujaa ges bila sababu hasa mida ya jion, nimewahi pima majibu ni amoeba na madonda tumbo nikatumia dawa,unafuu kidogo sana ila tatzo liko pale pale pia nguvu za kiume ume nazo zimepungua tofaut na mwzo,tafadhali yeyote anaeweza jua dawa au dr gani nimuone anisaidie please.
 
Ulikwenda hospital ya serikali au binafsi. Kama ulitumia hospital binafsi nenda ya serikali Ongea na mganga vizuri atakusaidia
Hospital za binafsi wanaangalia pesa tu ukienda wanakupa madawa mengi ili wauze tu.
 
nimeenda mkuu ila wanasema ni tatzo la mmengenyo wa chakula dawa nimepewa lakin hakuna ka una exprienc niambie dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…