Nina tatzo la kichemba juu ya tumbo wasukuma wanasema (kagembe)panauma sana mda mwingne mpka nyuma ya mgongo pia choo kinakuwa kigumu sana tumbo kujaa ges bila sababu hasa mida ya jion, nimewahi pima majibu ni amoeba na madonda tumbo nikatumia dawa,unafuu kidogo sana ila tatzo liko pale pale pia nguvu za kiume ume nazo zimepungua tofaut na mwzo,tafadhali yeyote anaeweza jua dawa au dr gani nimuone anisaidie please.