Ukienda mkoa wa Mbeya eneo lolote usitake kuwaonyesha unawapanda kichwani especially watu waliokuzidi umri huwa wanachukulia kama aina ya dharau.
Nilienda Mbonile. Wale wazee walipokea ugeni wetu kwa heshima ila sasa, ukiwasalimia huku umesimama ni kosa unachezea biti moja hilo utadhani wanakujua.
Walinivuta chini kwamba nisalimie kwa magoti. Kubabake nusu niwamaind niwatoe nishai but nikakumbuka nipo kwenye himaya yao nikawa mpole.
Kule ukileta umaridadi wanakuchekea tu subiri uondoke uone watskachokufanya huku nyuma. Huyo Tulia amepata ubunge sababu ya kutoa pesa na kuwashobokea hao wazee kwa muda mrefu sana na kuwasaidia mambo ya kifamilia plus kuwa karibu na wazee wa huko.