ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Nimeshangaa sana! Nikahisi huyu kijana nadhani si wa Kyela, hiyo kwa Kyela ni DisqualificationHawajui watu wa Mbeya vizuri huyu.
Mtoto mdogo mmoja pesa nyingi anakwambiaNi nani huko kwa Mwakyembe?
Ukienda mkoa wa Mbeya eneo lolote usitake kuwaonyesha unawapanda kichwani especially watu waliokuzidi umri huwa wanachukulia kama aina ya dharau.Nimeshangaa sana! Nikahisi huyu kijana nadhani si wa Kyela, hiyo kwa Kyela ni Disqualification
Nyie bado mko Zama za siasa SA kina wilbroad slaha...mambo yame change siku hiziNimeshangaa sana! Nikahisi huyu kijana nadhani si wa Kyela, hiyo kwa Kyela ni Disqualification
Hayo mambo ya naenda yanapungua maisha kidigitali siku hizi na sio kwamba dogo alijipanga awe mbunge kacheki Tu upepo kwa sasa upo kwa kina Samia na CCM yake kuna nini tena akipitishwa na Wajumbe basi kwani Kura wanapiga Wazee peke Yao????Ukienda mkoa wa Mbeya eneo lolote usitake kuwaonyesha unawapanda kichwani especially watu waliokuzidi umri huwa wanachukulia kama aina ya dharau.
Nilienda Mbonile. Wale wazee walipokea ugeni wetu kwa heshima ila sasa, ukiwasalimia huku umesimama ni kosa unachezea biti moja hilo utadhani wanakujua.
Walinivuta chini kwamba nisalimie kwa magoti. Kubabake nusu niwamaind niwatoe nishai but nikakumbuka nipo kwenye himaya yao nikawa mpole.
Kule ukileta umaridadi wanakuchekea tu subiri uondoke uone watskachokufanya huku nyuma. Huyo Tulia amepata ubunge sababu ya kutoa pesa na kuwashobokea hao wazee kwa muda mrefu sana na kuwasaidia mambo ya kifamilia plus kuwa karibu na wazee wa huko.
Kwa mnaofatiria sisiasa ccm ishatangaza watu Bunge wake.Hayo mambo ya naenda yanapungua maisha kidigitali siku hizi na sio kwamba dogo alijipanga awe mbunge kacheki Tu upepo kwa sasa upo kwa kina Samia na CCM yake kuna nini tena akipitishwa na Wajumbe basi kwani Kura wanapiga Wazee peke Yao????
Kwahiyo amuulize Mwakyembe au?Hawajui watu wa Mbeya vizuri huyu.
So maisha yakiwa ya kidigitali wale wazee wanakufa au wanapotea au?Hayo mambo ya naenda yanapungua maisha kidigitali siku hizi na sio kwamba dogo alijipanga awe mbunge kacheki Tu upepo kwa sasa upo kwa kina Samia na CCM yake kuna nini tena akipitishwa na Wajumbe basi kwani Kura wanapiga Wazee peke Yao????
KabisaKwahiyo amuulize Mwakyembe au?
Ikwifuna(Anajidai)piga chini mazima!Nimeshangaa sana! Nikahisi huyu kijana nadhani si wa Kyela, hiyo kwa Kyela ni Disqualification
SubiriNyie bado mko Zama za siasa SA kina wilbroad slaha...mambo yame change siku hizi
Kangi alinamatingo fijo!Ikwifuna(Anajidai)piga chini mazima!