Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

Vyote unaweza kuwa upo sawa ila ambacho haupo sawa ni kuamini kuwa wananchi wanaweza kuamua jambo kuhusiana na uchaguzi. Kwamba wenye nguvu ni wananchi, hapo unakosea sana.
 

Hapo nilipo bold panaonesha wewe ni mjinga Sana na either hauweli siasa za nchii hii zilivyo au umejitoa ufahamu.
 
Kwa akili Yako ukiwa ccm hao wazee uliowataja wanaweza kukosesha ubunge mnaongea kama hao wanambeya sio watanzania ambao ni waoga Kwa chama tawala?
 
Hapo nilipo bold panaonesha wewe ni mjinga Sana na either hauweli siasa za nchii hii zilivyo au umejitoa ufahamu.
Wewe sasa ndio mjinga. Zemanda yupo sahihi pengine sababu ashawahi tembea huo mkoa. Hata kama CCM wanaiba chaguzi bado naona hujajua influence ya wazee baadhi ya mikoa. Unadhani CCM wapo jirani na Chief Mwashinga kimasikhara? Unajua influence ya huyo Chief kwa wasafwa? Unajua kwa Mbeya mjini, wafuasi wengi wa CCM wanaangukia kwenye hilo kabila? Unajua msafwa hamkubali mnyakyusa waziwazi? Tulia hajafika pale kwa kupushiwa tu kama unavyodhani.
 
Kwa akili Yako ukiwa ccm hao uliowataja wanaweza kukosesha ubunge
We hujielewi ccm inazuiwa na nani huyo mdude Sasa hivi unamsikia tumia akili
 
Ccm wakiamua kumuweka yeyote wanaemtaka anapita hakuna Cha msafwa Wala wafwa
 
Sawa Ila anaposema hao wazee ndo wamempatia Tulia ubunge anamaanisha nini ?.
 
huyu anapita bila kupingwa
tafuteni hela jamani
wanyakyusa wa leo sio wale miaka ile
 
Kwa siasa za Tanzania hii sio njia sahihi ya kuwashawishi wapiga kura. Wapiga kura wa Tanzania wanapenda mtu anayejifanya yeye ni maskini kama wapiga kura wengi. Ndo nyakati za wanasiasa kula hata mishkaki ya panya hadharani.
 
Hyo ilikuwa zaman, sasa hivi wamebadlika. Kwanza hata maneno yake ya dharau ni asili yao. Hatukan wazee anawatukana vijana wanaombeza mitandaon. Kule kyela naona atachukua ubunge mchana kweupe. Vijana wengi wanamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…