Msafara wa DP Ruto wapigwa nawezaje kisumu

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
2,244
Reaction score
5,500
If you don't fancy a certain presidential candidate don't attend his campaigns. Simple
Wakenya sisi watz tuaipenda sana democracy yenu lakini ndugu zetu mmekosa uvumilivu kbs kisiasa

237D0F59-3787-49D6-A5A7-0B5C7ABDA641.png

8E696D77-CFDB-48CE-9FC1-145DCEE6AF12.png

62AD102D-A603-42F7-8DBB-011CA8D117E7.png
 
Si wanasemaga Gari za state House ni imara,kumbe ni hadithi tu?
 
Amejitakia bure maana kabla na wakati wa kampeni Uhuru Kenyatta hajawahi kanyaga hizo ngome za odinga ...sijashangaa kabisa..kipindi Cha uchaguzi wa marudio kura hazikupigwa huko plus magari, supermarket etc viliharibiwa ..huwaambii kitu hao kwa baba odinga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao raia wa kabila la ruto ndio balaa tupu.
 
Wakenya sio waoga, kama hawapendi mtu wanamwambia tu kwa njia yeyote.
 
vurugu katika siasa za kenya huwa zinaanza kama hivi.

baadae mambo yanakuwa makubwa, wanaanza kuuana.

nasubiri vile wakalenjin na washirika wao watakavyo retareate.
 
Amejitakia bure maana kabla na wakati wa kampeni Uhuru Kenyatta hajawahi kanyaga hizo ngome za odinga ...sijashangaa kabisa..kipindi Cha uchaguzi wa marudio kura hazikupigwa huko plus magari, supermarket etc viliharibiwa ..huwaambii kitu hao kwa baba odinga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hio mzee wa vitendawili nae akipita kwny ngome za Ruto apopolewe mawe sio?
 
Mbona msifanye hivyo kwenye njaa, slums na umasikini uliowatopea?
Huyo ruto ni mmoja wa wenye wametuiba pesa tangia 2013 hadi sasa hivi wakiwa na ndugu yake Uhuru Kenyatta. Ndio wanasababisha njaa, slums na umaskini badala ya kumaliza haya mambo na wao ndio wenye serikali hadi 2022. Wapigwe mawe!!!!!!!
 
RUTO SAFIIII, RUTO JUUU

Back
Top Bottom