Msafara wa DP Ruto wapigwa nawezaje kisumu

Msafara wa DP Ruto wapigwa nawezaje kisumu

Hahahaha, Kenya msimu wa siasa huanza mara tu ya kuapishwa rais aliyechaguliwa, poleni Sana,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Huwa inasemwa kuwa siasa ndio national sport in Kenya. Inapendwa kushinda kutazama riadha au soka.
 
Wewe usituletee siasa hapa. Msimu wa siasa bado haujafika. Umesikia wewe kijana?
Kweli ukabila na demokrasia haviwezi kuwa pamoja, ninauhakika Kama sio ukabila, Matiang'i angekua rais wa Kenya, lakini kwasababu anatoka kabila dogo, hata kwenye debe hayupo,
 
Wewe usituletee siasa hapa. Msimu wa siasa bado haujafika. Umesikia wewe kijana?

Kisa nimemtaja Ruto, ndiyo imekuwa nongwa. Ningetaja jubilee ungeanza kudemka.
😛😛😛

Na mmeambiwa vile viuno vina wenyewe.
 
Kisa nimemtaja Ruto, ndiyo imekuwa nongwa. Ningetaja jubilee ungeanza kudemka.
😛😛😛

Na mmeambiwa vile viuno vina wenyewe.
Wewe taja mtu yeyote unayetaka kumtaja mimi sina shida. Kenya itazidi kusonga mbele licha ya nyinyi WaTZ wenye roho mbaya mnaotakia Kenya mabaya.
 
Wewe taja mtu yeyote unayetaka kumtaja mimi sina shida. Kenya itazidi kusonga mbele licha ya nyinyi WaTZ wenye roho mbaya mnaotakia Kenya mabaya.

Unaona sasa. Nimemtaja Ruto kidogo tu. Povu limejaa chumba kizima.
😛 😛
 
Back
Top Bottom