Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kenya ni nchi ya watu makatili, primitive, ukabila, fujo za kisiasa na mauaji ya kiholela, hakuna demokrasia yoyote wasikudanganye, ni ukabila kwa Sana tu.If you don't fancy a certain presidential candidate don't attend his campaigns. Simple
Wakenya sisi watz tuaipenda sana democracy yenu lakini ndugu zetu mmekosa uvumilivu kbs kisiasa
View attachment 2005564
View attachment 2005565
View attachment 2005563
If you don't fancy a certain presidential candidate don't attend his campaigns. Simple
Wakenya sisi watz tuaipenda sana democracy yenu lakini ndugu zetu mmekosa uvumilivu kbs kisiasa
View attachment 2005564
View attachment 2005565
View attachment 2005563
Hao raia wa kabila la ruto ndio balaa tupu.Amejitakia bure maana kabla na wakati wa kampeni Uhuru Kenyatta hajawahi kanyaga hizo ngome za odinga ...sijashangaa kabisa..kipindi Cha uchaguzi wa marudio kura hazikupigwa huko plus magari, supermarket etc viliharibiwa ..huwaambii kitu hao kwa baba odinga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulimaanisha kusema DOMOcracy?Simple
Wakenya sisi watz tuaipenda sana democracy yenu lakini ndugu zetu mmekosa uvumilivu kbs kisiasa
Si wanasemaga Gari za state House ni imara,kumbe ni hadithi tu?
Kumwambia na kupiga mawe na fujo no Mambo mawili tofautiWakenya sio waoga, kama hawapendi mtu wanamwambia tu kwa njia yeyote.
Ulimaanisha kusema DOMOcracy?
Hahaha. Povu linamwagwa leo humu kilo mbili.Eti Demo fyotofyoto
Kenya ipi Ilio jaa Ukabila!
Dah! Sikuwa nimeona hii.View attachment 2006351
Check kioo cha nyuma hapo
Kwa hio mzee wa vitendawili nae akipita kwny ngome za Ruto apopolewe mawe sio?Amejitakia bure maana kabla na wakati wa kampeni Uhuru Kenyatta hajawahi kanyaga hizo ngome za odinga ...sijashangaa kabisa..kipindi Cha uchaguzi wa marudio kura hazikupigwa huko plus magari, supermarket etc viliharibiwa ..huwaambii kitu hao kwa baba odinga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona msifanye hivyo kwenye njaa, slums na umasikini uliowatopea?Wakenya sio waoga, kama hawapendi mtu wanamwambia tu kwa njia yeyote.
Huyo ruto ni mmoja wa wenye wametuiba pesa tangia 2013 hadi sasa hivi wakiwa na ndugu yake Uhuru Kenyatta. Ndio wanasababisha njaa, slums na umaskini badala ya kumaliza haya mambo na wao ndio wenye serikali hadi 2022. Wapigwe mawe!!!!!!!Mbona msifanye hivyo kwenye njaa, slums na umasikini uliowatopea?