Msafara Wa Mshana Jr wapata ajali

Msafara Wa Mshana Jr wapata ajali

1426063367676-jpg.233684

Baada ya mafuta kuisha

Hahahhahahahahaha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa nafikiri watakuwa wafuasi wake tu, maana simuoni kamanda wetu Mshana Jr hapa au labda awe kajigeuza kuwa demu baada ya kuanguka.
 
Majeruhi wamelazwa St Mungo’s Wizard and Witchcraft Hospital
Ha ha ha!
Cc Mkufunzi MKUU wa taasisi ya masomo ya Giza na nuru Kaka Mshana Jr.Pole yake namuona siti ya mbele kabisa kaweka miguu kwenye ungo.
 
Back
Top Bottom