Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Unapata faida gani kusema uongo msafara wa cdm umefika saa tatu kamili Raisi kaingia saa 3:30 Ina maana raisi aliingia then akatoka Tena au
 
ELIMU, ELIMU, ELIMU ndiyo msingi wa mambo yote. Tangu niwe na ufahamu wangu sijawahi kuona kiongozi Mkuu wa Nchi amefika na kuanza kuhutubia alafu wewe lofa uje udraw attention ya wasikilizaji. Huo ni ushamba wa kilofa. Professor wangu pale SUA, ukikuta ameshaingia lecture room, wewe call it a day, hakuruhusu uingia abadan. Na hii ikatupa nidhamu ya kuheshimu muda na wakubwa. Sasa wewe lofa, Mkuu wa nchi ashaingia ukumbini na anahutubia alafu eti na wewe unakuja nyuma yake wewe nani bhana. Mjitafakali kwa upuuzi wenu huo CHAGADOMO.
 
Chadema wameitaka serikali itoe Maelezo kwanini viongozi wakuu wa chama hicho walizuiwa kuingia uwanja wa Uhuru kumuaga hayati Mkapa.

Barua iliyosainiwa na mkuu wa mawasiliano wa Chadema mh Makene imedai viongozi wengine wakiwemo wa dini waliruhusiwa kuingia lakini wao waliambiwa wakapange foleni kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Barua hiyo inadai Maelezo kamilifu toka serikalini.

Maendeleo hayana vyama!
 
Waingie wakafanye nini? Kwani msiba una wahusu? msiba ni wakwetu sisi wana ccm
 
Chadema ni kama mtoto mtukutu ndani ya familia
Chadema ni kama wazazi wawe na watoto wafuatao; Kaka Mkubwa dudubaya the mambaz, wanafuatia mapacha TID kigogo na Q Chillah, Mdogo wao Baba levo halafu kitinda mimba Gigy Money. Mtoto wa nje ya ndoa ni Amberuty. Hapo wazazi lazima mdate
 
Huo ni msiba na hauna/hautakiwi kuwa na mashariti ya aina hiyo.
Tuwe wakweli, mnataka kufanya siasa hata kwenda kuanga mwili wa marehemu, Lissu aliagiza wanachama wamsindikize, hii ni kutaka kuingia uwanjani kwa mbwembwe. Hilo ni kosa na kila aina, kisiasa ,kidini, kimila, kibinadamu.
 
Cjui km unaelewa maana ya neno "sympathy" kenge ww.........

CHADEMA ni chama Cha watz....sio chama cha walafi km ccm
Easy mkuu. Kama sio sympathy kwanini haikuacha TL arudi bila kupigia kelele jamii kwamba ndio anarudi. kwanza suala la kubaki hai au kufa ni la kwake na mungu...kwanini msingefanya kimyakimya suala la kubaki na uhai wake
 
Sawa hata wakenya mmewazuia wasitue kuungana nanyi kwenye msiba hawa nao hawakufata protokali.......

Ni ujingaujinga tu wa maccm
Lisu ana siku 1 toka afike hapo chadema tayari mambo vururu vururru!

Hivi chadema hakuna mwenye akili hata mmoja aliyeweza kuwashauri kwamba wanachemka?

Prof. Baregu si mnae huko au hamtaki kumtumia awashauri mambo ya protocol.?
 
Hawakwenda kwa dhati,walikwenda kuchafua hewa kisiasa.
 
Naomba niione hiyo barua kabla ya kutoa maoni yangu.
 
Mwanahabari Huru namwomba Makene atoe ufafanuzi kuhusu aya ya 5 ya barua yake; hayo magari mengine yalikuwa yakiingia ndani au yalikuwa yanashusha watu waingine kwa foleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…