Ulitaka afe? K mbovu wewe. Hatafuti sympathy! Risasi 16 mwilini zimempatia hilo! Stupid wahed!Chadema hawakuwa na nia ya kwenda kuaga walienda kwenye show off na kutafuta sympathy kwamba huyu ndio TL amerudi sasa just for political gains
Chadema ndio wapuuzi na wamekosa heshima, wenyewe kila tukio ni siasa tu.
Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
Kumbe uliona wakati wanaondoka siyo wakati wanawasiliHapana. Huu wako ndiyo uongo mtakatifu maana unayebishana naye aliona wakati wanaondoka.
Huo msafara unaolallamikiwa kuzuiliwa ulikuwa wa nani?
Waliambiwa wakapange foleni upande wa wananchi,kwa upande wa viongozi itifaki ilikuwa closed,mh.Rais alikuwa tayari ameshaingia uwanjani.Kwamba kwakua Rais kafika, basi hapa mimi sitakiwi kuingia?
Ukiachilia mbali mwamvuli wa siasa. hao ni wananchi wakawaida na Watanzania.
1. Kama ni hivi, ina maana kila aliyeenda msibani alikwenda kujitangaza a.k.a kutafuta "kick"....
2. Maelezo ya Makene yako very clear, kwamba wana barua iliyotumwa kwao ikionesha itifaki yote ya jinsi ya kufika, kuingia na namna ya kukaa pale....
Sasa why wazuie watu kwenda kuaga?
swali halikuwa la kwako moja kwa moja kuna mdau humu ndo tunaendelea kujadiliana na kujibizana.Hebu kaa kwa kutulia, uzi uko page ya 21, ww ndio unauliza maswali yenye majibu post namba moja! Kama sio ulikuwa unasumbua wanaume hapa ni nini?
Kosa kubwa sana wamefanya serikali, na inaonesha kwamba watafanya chochote ilimradi washinde uchanguzi kwa kutumia nguvu ya dola na sio matakwa ya umma.Civilisation imewapitia mbali sana MATAGA!
Usishangae wakaambiwa wameandamana bila Kibali.
Ubaguzi huu sasa unahamia mpaka kwenye misiba na ipo siku utakwenda zaidi ya hapo.
Ya jana yamewaumiza, na hizi ndio hasira zao.
Hatari ya uamuzi huu ni msiba kuchukua sura ya kisiasa na matokeo yake watu wanaweza kususa kushiriki ikiwamo kuondoka msibani kwa waliokwisha kufika.
Ila kama kuna sababu ya msingi ya kuwazuia,tuambiwe.
Mlifuata protocol?Mkuu maccm ni Wapuuzi hawakuwa na nia ya kweli ya Chadema kuhudhuria tukio hilo hivyo bila ya shaka polisi walipewa maelezo kwamba Chadema wasiingie moja kwa moja kama viongozi wa vyama vingine, kitu ambacho si sawa. Ubaguzi dhidi ya Chadema kama kawa.
Je, walifuata kama ratiba ya kwenye barua iliwapasa wafuate? Barua iliwataka waingie uwanjani baada ya kiongozi mkuu wa nchi kuingia?1. Kama ni hivi, ina maana kila aliyeenda msibani alikwenda kujitangaza a.k.a kutafuta "kick"....
2. Maelezo ya Makene yako very clear, kwamba wana barua iliyotumwa kwao ikionesha itifaki yote ya jinsi ya kufika, kuingia na namna ya kukaa pale....
Sasa why wazuie watu kwenda kuaga?
Ni upumbavu tu wa kuwapa upinzani mileage rahisi.Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
Aibu si kwa chadema Aibu ni kwa CCM kuwazuia hapo hakuna kiki bali CCM wamejitoa fahamuHawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa. Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.
Walikuwa wapi mpaka waingie wakati Rais ameshaingia ndani? Itifaki lazima izingatiwe.
Sawa hata wakenya mmewazuia wasitue kuungana nanyi kwenye msiba hawa nao hawakufata protokali.......
Ni ujingaujinga tu wa maccm
Raisi hakuingia saa tatu niulize polisi kwa nini waliwazuia viongozi wa chadema wakati viongozi wa CCM walikaa jukwaa kuuWalikuwa wapi mpaka waingie wakati Rais ameshaingia ndani? Itifaki lazima izingatiwe.
Ushawahi kuona kwenye kampeni watu wanazuiwa hata kama Rais ameingia?Walikuwa wapi mpaka waingie wakati Rais ameshaingia ndani? Itifaki lazima izingatiwe.