Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Siasa zipi walizofanya? Kwanini wapange foleni ndefu wakati viongozi wa vyama vingine wakiingia bila kupanga foleni? [emoji15][emoji15]

Acha KUKURUPUKA Mkuu.
Viongozi wa Vyama Vya Siasa, Viongozi wa Dini na Mashirika mbalimbali walitangaziwa kuwa kutakuwa na usafiri wao maalumu toka Karimjee, Ina maana huko itafaki ndio iliandaliwa sio pale uwanjani.

Viongozi na wananchi wa kawaida walioenda na magari yao walishauriwa kupaki nje kabisa ya Uwanja na kuingia kwa kufuata mstari wa kawaida wa watu wote.

Tupunguze mihemuko kwa vitu vidogo vidogo kama hivi vinashusha heshima ya Chama.
 
Kumbuka kwamba matukio yote yametokea kwa bahati wakati mmoja. la TL lilipangwa lkn msiba ukatokea. Sasa kwa vyovyote ni busara TL aende kuaga. Kutokufanya hivo ni dharau pia.

Sasa kuhusisha hilo na kuingilia msiba ni jambo lingine na ni mtizamo tu. But kuaga ni muhimu zaidi na pengine ni lazima.

Mnaweza kuwa na chuki na ndugu lakini msiba huwezi kuukwepa
Solution: ni kuwaruhusu with some conditions to avoid disturbance. Otherwise itakuwa ni woga.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Lissu ni Mtanzania Mpaka alikuwa rais wa wote waziri Mkuu alituomba wananchi tuende uwanjani na tumeenda so chadema na Lissu kuenda kuaga ni national solidarity hakuna ubaya
 
Waulize mbona Maalim Seif alikuwepo? Yeye alizuiwa?
Impact ya Maalim Seif huwez kuifananisha na TL kwasasa, TL popote atakapokanyaga kwasasa lazima watu wavurugwe, huwezi kujizuia kupiga kelele za Shangwe mbele ya TL, serikali ilijua hilo ndo maana ikamzuia, hakuna sababu nyingine
 
hivi nyie bado mnalialia tuu?
embu sahauni
sisi wala hatujali maana ndo washazuiwa tayari na huku kulialia mitandaoni hakupunguzi wala kuongezi chochote
 
Mkuu nakuhakikishia, haya mambo sio rahis hivyo, ashapiga mkwara mara ngapi mzee lakin mbona ujio wa TL umetikisa? Kuongoza nchi kwa kutumia nguvu lazima ufeli tu, utaweza kwa muda fulan lakin sio kwa muda wote.
Kutikisa? Sio kama unavyodhani,tume huru ya uchaguzi kwenye uchaguzi ni kama moyo kwenye mwili wa binadamu,kama hii kitu haipo basi utapangiwa nani akae wapi,na nani akae wapi? Huu uchagizi sio kama wa 2015,utaniambia...
 
Hatuwezi kukubali chadema wanajisi msiba wa marehemu mzee wetu mkapa, nchi hii ina intelijensia kali ambayo tulifahamu kwa muda mrefu kwamba hawa watu wanataka kunajisi msiba.

Siasa za matukio zimepitwa na wakati.
Ha ha CCM mtakuwa mazuzu no wonder mumelaanika na kukataliwa hadi uwanja kujaza watoto wa shule za msingi maana mumekataliwa kabisa vimebaki vinapiga kelele uwanjani kama ndege
 
Wewe ndiye unayehemuka kasome barua ya Chadema badala ya kuandika upotoshaji wakati hujui kilichojiri.


Viongozi wa Vyama Vya Siasa, Viongozi wa Dini na Mashirika mbalimbali walitangaziwa kuwa kutakuwa na usafiri wao maalumu toka Karimjee, Ina maana huko itafaki ndio iliandaliwa sio pale uwanjani.

Viongozi na wananchi wa kawaida walioenda na magari yao walishauriwa kupaki nje kabisa ya Uwanja na kuingia kwa kufuata mstari wa kawaida wa watu wote.

Tupunguze mihemuko kwa vitu vidogo vidogo kama hivi vinashusha heshima ya Chama.
 
Nadhani hapa kuna suala la itifaki kwani mbona nimemuona Maalim Seif wa ACT akiaga mwili wa marehemu!
 
Yameshaisha hays sasa tuelekeze macho na akili zetu kwenye uchaguzi tulidhani mwepesi Upepo umebadilika
 
Siasa tu mpaka kwenye Misiba?

Hapo serikari yote iko hapo, Maana yake kuna ulinzi na Interejensia ya kutosha, kina Tundu na Chadema wao wanaamua kwenda kujitangaza Kisiasa kwenye Jambo la simanzi?

Hata kama siasa ndio zinatupangia Kwa kila ktu Ila si kwenye Msiba
Maoni finyu kuwakatalia na kuwadharau mumewapa mileage zaidi
 
Kutikisa? Sio kama unavyodhani,tume huru ya uchaguzi kwenye uchaguzi ni kama moyo kwenye mwili wa binadamu,kama hii kitu haipo basi utapangiwa nani akae wapi,na nani akae wapi? Huu uchagizi sio kama wa 2015,utaniambia...
Nakubaliana nawew, lakin amini nakuambia matumizi ya nguvu badala ya hoja yanaanza kumfika shingoni Anko, watu million 60 kuwaongoza kwa amri amri na vitisho sio rahisi na pia hakuna uchaguzi mgumu na utavutia Dunia km huu wa mwaka huu,
 
Mkuu, kwani hakuna wengine wameendelea kuingia baada ya raisi? Pia rais njia ni nyeupe wengine kuna foleni na ukumbuke mtu alifika jana tu na uchovu wa safari na kusema kweli lazima maandalizi yawepo kutokana na yaliyotokea huko nyuma.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Wanafunzi shule ya msingi kibao japo chadema walifika kabla ya Rais kukaa
 
Kama hajaiona, basi ningeomba taarifa hii imfikie ndugu yangu brazaj ambae hata wino wa mjadala wetu hujakauka...

Halafu hivi ni nani yule aliniambia eti Magu atakuwa kabadilika kutokana na kifo cha Mkapa?!!

Mkuu wangu Chige habari hii nimeiona. Nimeshaandika mabandiko mengine takribani mawili kwenye uzi huu hapa.

Niliandika pia bandiko refu mapema. Tafadhali rejea comment #202 kwenye uzi huu:

LIVE - Yanayojiri Msiba wa Mkapa: Mwili kuagwa kwa siku 3 katika Uwanja wa Uhuru kuanzia Julai 26. Atazikwa Kijijini kwao Lupaso, Mtwara

Makamanda hapana jipya la kushangaza hapa. Tuko vizuri!

Mapambano ni strategy. Strategy ya kumleta Lissu salama ni mwendelezo wa strategy after strategies.

Tutambue kuwa kutakuwa na changamoto. Maturity ni kupambana nazo kwa nerve kabisa. Ndiyo uanamme huo ati?

It is not impossible.

Victoria acerta!
 
Luka 9:60 Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”
 
Back
Top Bottom