Bashite wewe mpumbavu sana chadema wamefika kabla ya Raisi wewe unaongopa tu hapaHivi Bawacha hamjui kuwa kwenye sherehe zote za kitaifa mtu wa mwisho kuingia ni Rais? Hivi ninyi Chadema mbona wajinga sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite wewe mpumbavu sana chadema wamefika kabla ya Raisi wewe unaongopa tu hapaHivi Bawacha hamjui kuwa kwenye sherehe zote za kitaifa mtu wa mwisho kuingia ni Rais? Hivi ninyi Chadema mbona wajinga sana?
Sasa kati ya watu mil60 ukute mil 50 wanamkubali kwa hii staili,na ndio ilivyo,upinzani watapata kura 10% tu kwenye urais.kwenye ubunge ndio balaa litakuwepo,tume ya wajumbe,sio ya uchaguzi.Nakubaliana nawew, lakin amini nakuambia matumizi ya nguvu badala ya hoja yanaanza kumfika shingoni Anko, watu million 60 kuwaongoza kwa amri amri na vitisho sio rahisi na pia hakuna uchaguzi mgumu na utavutia Dunia km huu wa mwaka huu,
Viongozi wa Vyama Vya Siasa, Viongozi wa Dini na Mashirika mbalimbali walitangaziwa kuwa kutakuwa na usafiri wao maalumu toka Karimjee, Ina maana huko itafaki ndio iliandaliwa sio pale uwanjani.
Viongozi na wananchi wa kawaida walioenda na magari yao walishauriwa kupaki nje kabisa ya Uwanja na kuingia kwa kufuata mstari wa kawaida wa watu wote.
Tupunguze mihemuko kwa vitu vidogo vidogo kama hivi vinashusha heshima ya Chama.
Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.
Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.
=====
UPDATES:
CHADEMA yaitaka Serikali itoe maelezo kwanini viongozi wake wakuu wamezuiwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa!
Ni ishu Magufuli kachokwa kama hata wana ccm wenzake hawataki kumuunga mkono uwanjani anaokolewa na waalimu na watoto wa shule za msingi kaisha huyoKumbuka wale ni viongozi wa chama tofauti na wewe na mimi lazima wakakae maeneo waliotengewa kabla rais ajaingia,kuja au kutojaa uwanja sio ishu,je itifaki walifuata?
Icheki hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Nakubaliana nawew, lakin amini nakuambia matumizi ya nguvu badala ya hoja yanaanza kumfika shingoni Anko, watu million 60 kuwaongoza kwa amri amri na vitisho sio rahisi na pia hakuna uchaguzi mgumu na utavutia Dunia km huu wa mwaka huu,
Apowe moto tu maana aliapa kuwa raisi wa wote haya mambo yanampaka matope wananchi hawasemi polisi wana Magu mwoga kwa nini sasaKuna Watu ninawashangaa mno Mkuu kwani wanamjua kabisa Mwamba alivyo na Kisununu na Kisasi na Wao wanaendelea Kumtibua tu kama hivi.
Bashite wewe mpumbavu sana chadema wamefika kabla ya Raisi wewe unaongopa tu hapa
Magufuli ametaja ccm kwa sana tu maana yeye samahani wananchi ni ccm na sio TanzaniaHicho ulichoandika ndicho kimefanya watimuliwe kwa sababu wao wanadhani Msibani kuna CCM na Chadema, kumbe kuna waombolezaji tu na Wala hazitajwi vyama
Raisi alikuwa hajafika walivyokataliwaHivi na wewe upo Jf lakini hujui kuna utaratibu wa kuingia kwenye sherehe za kitaifa? Hujui kuwa Rais ndio huwa wa mwisho kuingia?
Hakukuwa hata na watu tuliitwa tukapajaze wangewaingiza figisu hata mkutano wa taifaJana walikuwepo wakuu wa nchi?
Kumbuka wale ni watu mashuhuri wana sehemu zao walizopangiwa kabla mkuu wa nchi ajafika kwaiyo lazima itifaki ifuatwe.
Walifika mapema kabla ya raisiHapa wamekosea wamefanya kusudi hapa siwatetei
Safi sana wanatuletea mzaha hatupo kucheza na vitoto vidogo, hiko chana kifutwe tuu. Wamekosa heshima kabisa ni aibu kuwa na chama kama CHADEMA Tanzania.Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.
Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.
=====
UPDATES:
CHADEMA yaitaka Serikali itoe maelezo kwanini viongozi wake wakuu wamezuiwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa!
When did you become an expert while you joined JfJuly2020umetoa rushwa weweSaf
Safi sana wanatuletea mzaha hatupo kucheza na vitoto vidogo, hiko chana kifutwe tuu
Upumbavu ni kuufanya msiba wa kitaifa kuwa wa chama kimoja!Hawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa. Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.
Huyo ni Kigogo fake wa Lumumba. Kigogo Og yuko rikizo.Hata kigogo wenu kawakataaView attachment 1519630
Angalia nyuzi nazo ziandika humu jamii forum. Ni nyuzi za kujenga, ndio hizo zimenipa uexpert.When did you become an expert while you joined JfJuly2020umetoa rushwa wewe