Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Sasa ulitamani Polisi waingilie hata kama hakuna vurugu? Hiyo jana ndiyo wamekudhihirishia kwamba bila Polisi kuingilia CHADEMA huwa wanaandamana kwa adabu! Jana umesikia uporaji wowote? Tuache kutumia siasa hata kwenye mambo ya kibinadamu. Hiyo maanake ni kwamba kile Polisi huwa wanasingizia eti intelijinsia huwa ni uongo tu!
 
Chadema wapvmbavu sana kumbe walitaka waingie taifa wakati rais ameshaingia, protokali gani inaruhusu huu ujuha? Hivi chadema kuna mwenye akili kabaki kweli?
 
Chadema utoto mwingi Sana!!

Na bahati mbaya kwamba hata wafuasi wake ukikaa vizuri kabisa kuwachunguza Kwa undani wengi wao ni wavuta bangi na machizi na hawana adabu

Nachofurahia tu kwamba nchi haiwezi kukabidhiwa Kwa watu wenye huluka hiyo!!
Hivi nchi huwa inakabidhiwa kwa hiari au sanduku la kura ndilo linaamua? Jikumbushe kilichomkuta Peter wa Mutharika pale Malawi! Wananchi wakiamua hakuna wa kubisha!
 
Nafikri upumbavu umeanzia kwa yule aliyewahi kuingia bila kufuata utaratibu wa ratiba. Ukiangalia ratiba iliyooneshwa na Makene kuna watu hawakutakiwa kuingia saa 3 bali walitakiwa waingie saa 4, sasa kama waliingia saa 3 kasoro hao si ndio juha zaidi ya wenzake?
 
Hivi nchi huwa inakabidhiwa kwa hiari au sanduku la kura ndilo linaamua? Jikumbushe kilichomkuta Peter wa Mutharika pale Malawi! Wananchi wakiamua hakuna wa kubisha!
Hao wananchi ndo wale wa Jana airport?? 😂😂
 
Ccm wapuuzi wazushi washamba wameweka nini kwa mkapa Magufuli anakatalia Mwili wa Mkapa kwani yeye ni familia kuna nini amejimilikisha huo mwili hapo kuna kitu huwezi kutaks kumliki marehemu huku unasema kalala hapa hawezi kuniadhibu
 
Ukatili Tundu anaomfanyia Magu ya faa akamatwe apewe kesi ya kumnyanyasa rais kama alivyopewa Idrisa.
 
Chadema wapvmbavu sana kumbe walitaka waingie taifa wakati rais ameshaingia, protokali gani inaruhusu huu ujuha? Hivi chadema kuna mwenye akili kabaki kweli?
Wapumbavu ni ccm. Na mwenyekiti wao wanaojimilikisha marehemu kwa kutafuta sifa kwanza watueleze ilikuwa Mzee afariki saa sita sita dakika 20 taarifa itolewe wakati hata hajafungwa kupelekwa mortuary
 
Ukatili Tundu anaomfanyia Magu ya faa akamatwe apewe kesi ya kumnyanyasa rais kama alivyopewa Idrisa.
Magufuli ajuwe atafanya afacho jumnyanyasa lissu lakini yaana mwisho make Si Mungu yeye
 
Wapumbavu ni ccm. Na mwenyekiti wao wanaojimilikisha marehemu kwa kutafuta sifa kwanza watueleze ilikuwa Mzee afariki saa sita sita dakika 20 taarifa itolewe wakati hata hajafungwa kupelekwa mortuary
Dah... what's the point?
 
Duh.. Hizi ndio akili anazozitegemea Mbowe pale chadema
 
Ka
Jukwa kuu wanakaa watu maalum kama Mwenyekiti Mbowe, sasa hao wote walitaka kuingia ili wakakae wapi ? Lazima itifaki izingatiwe
Kabisa mkuu.

Ila wafuasi wao wanaleta siasa tu mkuu.
 
Hawa jamaa wanafanya mzaha na msiba wa taifa. Kiki ya jana imebuma wameona waende wakatafute kiki nyingine msibani. Aibu sana kwa CHADEMA.

Wewe acha upumbavu. Kiki gani hapo umeona wanatafuta? Ulitaka waendeje? Mbona wewe ni pumbavu sana? Aibu kuwa na vichwa vya kupumbavu kama chako.
 
Na wewe unavyoendaga misibani kwani unaenda kutafuta wachumba?
Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…