Msafara wa Zimbabwe kwenda Paris katika Olympics wazua gumzo

Msafara wa Zimbabwe kwenda Paris katika Olympics wazua gumzo

Shida ni ushamba na tamaa ndo tatzo kubwa la mtu mweusi ikitokea safari kama hiyo kila mtu anaona hiyo ni fursa ya kwenda kuinjoy kwa sabb gharama zote zitakuwa si zake binafsi......
 
Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.

View attachment 3050998
Ni hii type of mindset ndio inafanya hatusogei kokote, mwafrika baada ya kupata uhuru wa nchi, hajawhai kupata uhuru wa nchi
 
Kuna ile nyingine ety mwana FA alienda kwenye mashindano ya AFCON ili kuiongezea nguvu taifa stars washinde 😂
 
Msafara wa kijinga sana wa kuchezea Kodi za wananchi kama ule msafara wa kiongozi wa Tanzania wa magari miambili wa rais wa Sasa.
 
Mara ya mwisho kituko kilikuwa yule mtoto Kibonge, binti wa kiongozi wa Somalia aliyepelekwa kukimbia mita 100!

Sasa tunaachiana zamu ya kufanya vituko huko duniani.
 
Hapo utasikia wanajiita wazalendo! Waafrika bure kabisa wakati mwingine mtu unajiuliza sijui Mungu alikusudia nini wakati akituumba.
tuwe ile mifano mibaya kwa watoto wa wazungu.
 
Back
Top Bottom