PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Your browser is not able to display this video.
 
Ariiiiii arririririiiiriiriiiiii aririririiriiiiiii
Piga bastola paaaaaah
 
Hv mnavyoleta hizi uzi nyingi hv kwan nyie mlitegemea kipi kipya huko kwenye hilo tamasha la kampeni za ccm
 
Sasa mtu kama msaga simu ulitegemea aseme nini 😁 😁 😁
 
Tanzania nchi yangu
Tanzania fahari yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…