Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Naona msio na mashine mnataka huo msemo uwe wa dada zenu......aleleeeeleleleleeleeeee. mwanaume mashine ..pambana na hali yako
Nimeuliza tu dadaangu. Maana tangu zamani siye tulikuwa tunaulizana pale mwenzetu anapopata demu..." vipi mashine ipo vizuri au...?" sometime utasikia mtu anakwambia " Mashine mbovu si ameshashusha engine... (amezaaa?) . Ndio maana nikaleta mada hapa sina nia mbaya kwako wewe malyakishu na wengine wote wanawake kwa wanaume. Tujadiliane bila ya kukashfiana... nani mashine mwanamke au mwanaume?
 
aisee kuna ngoma moja anaimba eti "mwanaume mashine..siipende hata kidogo inanifedhehesha kwakeli siku waifu nikimkuta anaipiga atanieleza jeuri hiyo kaitoa wapi
 
Kibamia wereva nini! Ni sawa na kusema mwanamke msambwanda ( kishunduu - in joti's voice) hata mimi naumiaga wakisema mwanamke nundu wakati mi sina sasa nawewe zoea tuuuu...
 
Haaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibamia mna shida
 
Wewe sema mwanaume pesa ujipe moyo au nazo huna? [emoji3] [emoji3]

Sent From Guest House
 
Kibamia wereva nini! Ni sawa na kusema mwanamke msambwanda ( kishunduu - in joti's voice) hata mimi naumiaga wakisema mwanamke nundu wakati mi sina sasa nawewe zoea tuuuu...
heheh pole ila mm sikumanisha hivyo
 
Acheni kelele banaa...mwanaume mashine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…