Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

Wakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana.........[emoji23] na mimi ngoja nije nimuwekee kizunguzungu wangu maana ni mjeuri mno akisikia hii na vyenye inamgusa atakua na adabu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom