Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana.........[emoji23] na mimi ngoja nije nimuwekee kizunguzungu wangu maana ni mjeuri mno akisikia hii na vyenye inamgusa atakua na adabu tuWakuu abari zenu naomba mnijuze uyu mwanamke ninayeishi nae yapata week sasa Huu mwimbo wa mwanaume mashine kila ninaporudi tu kibaluwani utaona anaanza kuimba sasa Leo kaamua kuuweka katika sim yake kama ring tone sasa wakuu mie nashndwa kumuelewa kama ananinanga mie
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
mule ndani kuna hadi mipito ya dk remyHuu wimbo uliimbwa na Dk Remmy kwanza
najiuliza why hasemi hili?
Sio original idea yake
Dokta Remmy aliwahi kuimba wimbo huu miaka ya '80' nimesikia kuwa familia yake inataka kumfikisha Msaga Sumu mahakamani.Huo wimbo mi siufaham, link tafadhali