KASHEBO
Member
- Dec 4, 2012
- 31
- 4
Jamani mimi nimepangiwa mpwapwa kusomea diploma ya ualimu awali ila nateseka kupata joining instructions hata kwenye web yao ambapo mkuu wa chuo ananiambia ipo naona fee strutures na sio joining yote na kwenye moe yaani wizara ya elimu kuna ya mwaka 2013 sasa nifanyeje nimechoka kumpigia mkuu wa chuo ataniona mkorofi hata kabla sijafika chuoni kwake