Msahada wa kisheria plz.

kithumn

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Habari waheshimiwa,ninashauri linaloendelea mahakama ya mwanzo buguruni kuhusiana na mirathi,msimamizi wangu wa mirathi anauza mali za mirathi bila kugawa,amekana shitaka na ameiambia mahakama kua alishafanya ugawaji wa mirathi hiyo,lakini sio kweli,naombeni mnisaidie ni utaratibu gani kisheria unaotumika kugawa mali kwa warithi?
 
Mali anagawa kutokana na orodha aliyopeleka mahakamani na kama ni kiislamu kutokana na sheria hiyo, kama anahalibu mali nendeni mahakamani na ushahidi ili muombe, ateuliwe msimamizi mwingine,pia upo uwezekano wa kuzidai mali alizoalibu.
 
Mahakama itakusaidia endapo utakua na ushahidi wa kutosha kwa claims zako. Unasema anauza naye anakataa prov mahakaman kua alifanya ivo. Baada ya kufanikiwa kufanya ivo, iombe mahakama ili mbadilishiwe msimamiz wa mirath. NB: MSIMAMIZ WA MIRATHI ANACHAGULIWA KWAAJILI YA KUONGOZA TU NA C KUJICHUKULIA MAAMUZI YAKE BINAFSI. KAMA ANAKOSEA INAPASWA AREKEBISHWE KABLA HAJAHARIB ZAID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…