Habari waheshimiwa,ninashauri linaloendelea mahakama ya mwanzo buguruni kuhusiana na mirathi,msimamizi wangu wa mirathi anauza mali za mirathi bila kugawa,amekana shitaka na ameiambia mahakama kua alishafanya ugawaji wa mirathi hiyo,lakini sio kweli,naombeni mnisaidie ni utaratibu gani kisheria unaotumika kugawa mali kwa warithi?