Habar wana jf
nina mdogo wangu anasoma chuo 1 hapa dsm na sasa yupo mwaka wa pili mwezi wa 10 anaingia mwaka wa 3 yaan wa mwisho tatizo linakuja amepata kazi nzuri tu ya kudumu mkoa tanga kwa kutumia chet chake cha diploma alichokuwa nacho je inawezeka kwa matokeo yake ya miaka 2 akamalizia open university au chuo chochote kwa distance learning akiwa uko uko tanga maana inatuchanganya atamalizaje elimu yake na kazi anaipenda
msaada mwenye kujua lolote kuhusu ili,mawazo,ushauri
wote mnakaribishwa asanteni