Msaidieni huyu..wanaume tu

Msaidieni huyu..wanaume tu

Sidhani kama ni busara kumpangia mtu maisha yake, pia hajafanya vibaya kuchukua uamuzi wakuwa mwenyewe. Kwakua kila jambo na wakati wake ikifika muda atapata ham na pia atapata mtu atake mrudisha tena kwenye mahusiano. Huyo jamaa yako haitaji msaada wowote kwakua ana amani moyoni.
 
Apumzike kidogo pia nae ajiulize wasichana wanamkimbia kwa nini? Kulingana na alivyosema alivyo wasichana wengi hapa mjini wangependa kuwa nae sasa ana tatizo gani? maana watu hawa wenye uwezo nao wana visa? utakuta hana muda na magirlfriend zake au anachoka sana na shughuli zake za kila siku
 
Back
Top Bottom