Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Habarini wapendwa,kuna mama jirani yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu,Kuna mda KIFUA KINAPATA MOTO SANA AKIWEKA KITAMBAA CHENYE MAJI BARIDI NACHO KINAPATA MOTO,amejitahd kwenda hospitali mbalimbali kama Kibong'oto(maalumu kwa matatizo ya kifua)na Kcmc lakini hajaonekana na ugonjwa wowote,pia anakohoa sana,Naombeni mwenye kuujua ugonjwa huu,chanzo chake na tiba yake amsaidie huyu mama na MUNGU atambariki.Natanguliza shukrani