VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Pole sana kwa ndugu yako kuumwa na hayo maradhi ingelikuwa jambo zuri na la maana kule alipokwenda kujitibia maradhi ya (UTI) angelirudi tena kuangaliwa ni kitu gani kinachosababisha kuumwa na tumbo upande wa kulia isijekuwa ni maradhi ya figo yanamuanza. Jaribu kumwambia awe anakula Kijiko 1 kikubwa cha Asali safi ya nyuki na maji ya uvuguvugu kila siku kutwa mara 3 kwa kila siku kisha uje hapa utupe feedback.Wasalam!
Ndugu yangu anahisi maumivu sehemu za pembeni ya tumbo;pande zote mbili.Kuna wakati alipima UTI na kuitibu.Lakini maumivu yanaendelea.Kwenye upande mmoja kuna kijimstari kimejichora.
Tafadhalini saidieni kwa ushauri na matibabu.
cc MziziMkavu
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Huko huko hospitali watajuwa kama ni kumpima figo au matatizo mengine mkuu VUTA-NKUVUTEAsante MziziMkavu.Nitafikisha ujumbe kwa utekelezaji. Lakini,vipimo vya figo vinafanyikaje?
Huko huko hospitali watajuwa kama ni kumpima figo au matatizo mengine mkuu VUTA-NKUVUTE
Pole sana kwa ndugu yako kuumwa na hayo maradhi ingelikuwa jambo zuri na la maana kule alipokwenda kujitibia maradhi ya (UTI) angelirudi tena kuangaliwa ni kitu gani kinachosababisha kuumwa na tumbo upande wa kulia isijekuwa ni maradhi ya figo yanamuanza. Jaribu kumwambia awe anakula Kijiko 1 kikubwa cha Asali safi ya nyuki na maji ya uvuguvugu kila siku kutwa mara 3 kwa kila siku kisha uje hapa utupe feedback.