Msaidieni ndugu yangu

Msaidieni ndugu yangu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Wasalam!

Ndugu yangu anahisi maumivu sehemu za pembeni ya tumbo;pande zote mbili.Kuna wakati alipima UTI na kuitibu.Lakini maumivu yanaendelea.Kwenye upande mmoja kuna kijimstari kimejichora.

Tafadhalini saidieni kwa ushauri na matibabu.

cc MziziMkavu

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:

Pole sana kwa ndugu yako kuumwa na hayo maradhi ingelikuwa jambo zuri na la maana kule alipokwenda kujitibia maradhi ya (UTI) angelirudi tena kuangaliwa ni kitu gani kinachosababisha kuumwa na tumbo upande wa kulia isijekuwa ni maradhi ya figo yanamuanza. Jaribu kumwambia awe anakula Kijiko 1 kikubwa cha Asali safi ya nyuki na maji ya uvuguvugu kila siku kutwa mara 3 kwa kila siku kisha uje hapa utupe feedback.
 
Asante MziziMkavu.Nitafikisha ujumbe kwa utekelezaji. Lakini,vipimo vya figo vinafanyikaje?
 
Last edited by a moderator:
Huko huko hospitali watajuwa kama ni kumpima figo au matatizo mengine mkuu VUTA-NKUVUTE

Nashauri apate vipimo hospitali yenye vifaa vya hali ya juu, yenye uwezo wa kuona matatizo ya ndani kwa usahihi. Kisha baada ya kupata majibu, awe na tatizo kubwa au la, atumie Vemma Mangosteen. Tembelea website hii: Vemma Europe: Discover a Nutritional Powerhouse - The Quality of your life. Ukishaitembelea, tafadhali nijulishe. Juice hii ina vitamini na madini yote muhimu kwa mwili wa binadamu. Kisha ikaongezwa tunda la Mangosteen linalozihuisha chembe chembe za mwili, na kuzifanya upya. Pia mwili utatetewa kwa tatizo lolote lile, kama kisukari, Bp, Ukosefu wa kinga, nguvu za kiume/kike, kuyeyusha uvimbe (usiozidi size ya apple),inaondoa stress, cholesterol, inawawezesha wanafunzi kuwa wa kwanza darasani, inaondoa vipara, inarekebisha uwezo wa macho wa kuona, n.k.n.k.Waioshika ujauzito, au wasioweza kuwapa ujauzito, wanafanikiwa ndani ya mwezi mmoja. Naamini hii juice itamsaidia sana ndugu yako. Ila apimwe kwanza na Daktari, na kama kuna dawa atakazopewa asiache KABISA kuzinywa, mpaka atakapokuwa amepona.
 
Pole sana kwa ndugu yako kuumwa na hayo maradhi ingelikuwa jambo zuri na la maana kule alipokwenda kujitibia maradhi ya (UTI) angelirudi tena kuangaliwa ni kitu gani kinachosababisha kuumwa na tumbo upande wa kulia isijekuwa ni maradhi ya figo yanamuanza. Jaribu kumwambia awe anakula Kijiko 1 kikubwa cha Asali safi ya nyuki na maji ya uvuguvugu kila siku kutwa mara 3 kwa kila siku kisha uje hapa utupe feedback.

Heri ya mwaka mpya 2019.
Natumaini uko salama. Naomba kujua hali ya ndugu yakoaliyekuwa na shida ya tumbo, anaendeleaje? Kama bado ana shida, nikupe maeekezo ambayo naamini yatamsaidia.

Asante.
 
Back
Top Bottom