Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
CCM hii iliyo kama kuku aliyenyeshewa mvua au ile ya Nyerere?
 
*MEMBE, ALLAN NA JACK; PEMBE TATU YA SIASA, MAPENZI NA USALITI?*

Sisi Marafiki wa Allah tunasoma sasa hivi mitandaoni taarifa za kupotea ndugu yetu Allan. Kama kawaida tunaona maneno yale yale ya kila siku. Kwa namna inavyotukereketa, hebu tutafakari haya kuhusu Allah Kiluvya.

Nawaomba tu Watu wajue, hili suala sisi marafiki wa karibu wa Allan tulioguswa zaidi na kutoweka kwa rafiki yetu tuna maombi matatu muhimu kwa watu mbalimbali kutokana na tunayoyafahamu Allan na yaliyokuwa yakimsibu hivi karibuni kama mtu mzima:

*Kwa Bernard Membe:*

Ndugu Bernard Membe tunakuheshimu sana, na ndio maana tunaandika hapa tukikuomba usaidie sana katika hili la ndugu yetu Allan.

Allan amejitoa sana katika maisha yako na hili unafahamu sana. Allan amepita katika majaribu mengi, unafahamu. Allan aligeuka kuwa moyo wako hata kuruhusu kufahamu nyumba zako ndogo zote.

Lakini katika hili tunaomba msaada wako usio na kupepesa mawazo wala macho.

Tunafahamu umekuwa katika siku za karibuni na sintofahamu ya kijamii na Allan kwa kiwango cha kutafutana kimbinumbinu ambazo sisi Allan amekuwa akitudokeza kwa vina bila kueleza kwa kina.

Ngoja tuwe wazi japo kdg kwa sasa...inaonekana huyu dada aitwaye Jacqueline Mushi ndio amekuwa chanzo cha sintofahamu yenu na kwa asilimia nyingi huenda kimesababisha yote haya.

Tunakuomba jambo moja tu muhimu; Allan kupendwa na mpenzi wako Jacqueline ni kosa la nani?

Mbona ulimuamini na akawa kiungo cha urafiki wenu! Kwa nini umemgeuka na kujenga uhasama?

Mmeficha ila inajulikana kuwa siku za karibuni umekuwa ukitumia kinachojulikana kama taaluma yako ya zamani ya ujasusi kumfanyia kazi Allan hasa baada ya wasaidizi wako wapya ulioanza kuwaingiza kutoka katika maeneo flan flan kukueleza kuwa eti Allan amekuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline.

Hata kama walikuambia hivyo, ndio umteke sasa mbona ni jambo la kishamba! Watu wanakutwa ugoni wanarudiana, Allah kamla Jacqueline unamind!!Mwache kijana ale maisha...vijana wachangamshane wewe mwenyewe unajua kimoja tu🤦🏻‍♂

Tunajua kuwa Allan katika mkutano wako wa hivi karibuni ulimtambulisha kwa walinzi wako wapya rasmi na kumbadilishia baadhi ya majukumu kama kushika dollar na kusimamia miradi yako Lindi.

Tuko tayari kuwaanika watu mengi zaidi ikibidi ila ngoja ujitafakari.Wengi tulishangaa kukusikia ukizungumzia topic ya madai ya watu kutekwa wakati hata ukiwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhariri Kibanda alitekwa na kuteswa, Daktari Ulimboka alitekwa na kuteswa, Profesa Mwaikusa aliuawa kikatili kama ilivyokuja kumtokea pia Dkt. Mvungi lakini hukuwahi kukemea wala kutamka lolote.

Tukajua ni mkakati wako tu wa kisiasa kumbe ulikuwa na lako jambo.Jacqueline amewaeleza wengi ikiwemo marafiki zake ambao wengine ni madem zetu. Wanawake hawafichani sana kama wanaume.

Kuhusu ulivyoanza kutoa vitisho dhidi ya Allan na kutumia mkutano ule kumlengesha kwa kikosi chako kipya walijulishwa na walikuwa wanatuasa sisi marafiki wa Allan.

Umma ufahamu kwa nini uliamua kukata shauri la kumdhuru kijana huyu Allan?

Sisi Marafiki wa Allan tunataka kujua na ikibidi tutatoa picha za watu wako maalum uliokuwa nao pale Mahakamani kwa lengo la kumuona vizuri Allan kwa karibu na kutimiza malengo uliyoyapanga.

Tunaomba utuambie Jack ni nani kwako na kwa nini ulikuwa unamtuma sana Allan kwake na kisha ukaanza kuleta mambo ya wivu wakati kijana kajiongeza kwa manufaa ya kizazi chake?

*Kwako Dada Mrembo Jacqueline Mushi:*

Tunafahamu kwa sababu ya mahusiano yako binafsi na Mzee Membe - Allan amekuwa sehemu ya maisha yako pia, akitumwa kukuletea kila ulichotaka na ulichotamani.

Lakini tunajua unajua jinsi Membe alivyoanza kuleta mambo ya ukuda na wivu na kumtuhumu Allan kuwa anatoka nawe Jacqueline.

Tunataka umma ufahamu vitisho alivyokuwa akivitoa Mzee Membe kwa Msaidizi wake huyu na ahadi alizokuwa akikwambia kuhusu Allan iwapo angethibitisha kuwa mnamsaliti.

Tunataka jambo hili liishe kwa kuweka bayana vitisho vya shemeji yetu (Membe) na uwasaidie wachunguzi kwa kuwaambia ahadi Mzee alizokuwa akizitoa mbele yako kuhusu Allan.

Usipofanya hivi, sisi marafiki wa Allan hatutakuwa na jipya zaidi ya kuyatangaza hadharani.

*Jeshi la Polisi:*

Mjue tu kwamba sisi marafiki wa Allan katika hili hatutaki mchezo, tunataka mtimize wajibu wenu.

Tunataka Membe ahojiwe kuhusu mazingira tata ya yeye kuanza kumzunguka msaidizi wake na kumwandalia vikosi vya kumfuatilia na kumpoteza.

Tunataka pia mumhoji vya kutosha huyu mrembo Jacqueline na aeleze kwa kina anayoyajua kuhusu mipango ya kumdhuru Allan maana imefahamika kutoka kona za jiji kuwa Allan alikwenda kumla Jacqueline - Mzee Membe akabaini na kumchukua juu kwa juu na watu wake wa ulinzi.

Kama nanyi mtashindwa kutekeleza wajibu wenu, msitulaumu!Tunayo mengi lakini umma ujue tu sisi marafiki tumeumia sana na we have an inside story of it.

_#BringBackAllan

Tunaomba Allan apatikane hai!! Lakini na wewe watz sio wajinga, usituone mafala!!!!
 
Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Duu mzee baba ushawahi tekwa nini?
 
hii ungepeleka Facebook ingekua poa sana maana kule vilaza wamejazana
 
Mimi sielewi vizuri hapa.
Mhe. Membe alisikika akisema hii agenda ya utekaji au utamaduni mpya ifungwe kabla ya mwakani, la sivyo itakuwa agenda kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Swali, nani anatengeneza hii agenda? Na nani atafaidika na hii agenda hapo 2020? Nani itakula kwake endapo hii agenda itaenda mpaka 2020?
Je, ni hujuma? Nani anahujumu?
 
Ila kwa nini wakati wanapopatikana ama wanapoonekana hawasemi nini kiliwakuta
 
Umejitanabaisha kwenye maelezo yako kama mtu mwenye jinsia ya kiume.
Sasa mbona unatumia ID ya mama mzungu?
*MEMBE, ALLAN NA JACK; PEMBE TATU YA SIASA, MAPENZI NA USALITI?*

Sisi Marafiki wa Allah tunasoma sasa hivi mitandaoni taarifa za kupotea ndugu yetu Allan. Kama kawaida tunaona maneno yale yale ya kila siku. Kwa namna inavyotukereketa, hebu tutafakari haya kuhusu Allah Kiluvya.

Nawaomba tu Watu wajue, hili suala sisi marafiki wa karibu wa Allan tulioguswa zaidi na kutoweka kwa rafiki yetu tuna maombi matatu muhimu kwa watu mbalimbali kutokana na tunayoyafahamu Allan na yaliyokuwa yakimsibu hivi karibuni kama mtu mzima:

*Kwa Bernard Membe:*

Ndugu Bernard Membe tunakuheshimu sana, na ndio maana tunaandika hapa tukikuomba usaidie sana katika hili la ndugu yetu Allan.

Allan amejitoa sana katika maisha yako na hili unafahamu sana. Allan amepita katika majaribu mengi, unafahamu. Allan aligeuka kuwa moyo wako hata kuruhusu kufahamu nyumba zako ndogo zote.

Lakini katika hili tunaomba msaada wako usio na kupepesa mawazo wala macho.

Tunafahamu umekuwa katika siku za karibuni na sintofahamu ya kijamii na Allan kwa kiwango cha kutafutana kimbinumbinu ambazo sisi Allan amekuwa akitudokeza kwa vina bila kueleza kwa kina.

Ngoja tuwe wazi japo kdg kwa sasa...inaonekana huyu dada aitwaye Jacqueline Mushi ndio amekuwa chanzo cha sintofahamu yenu na kwa asilimia nyingi huenda kimesababisha yote haya.

Tunakuomba jambo moja tu muhimu; Allan kupendwa na mpenzi wako Jacqueline ni kosa la nani?

Mbona ulimuamini na akawa kiungo cha urafiki wenu! Kwa nini umemgeuka na kujenga uhasama?

Mmeficha ila inajulikana kuwa siku za karibuni umekuwa ukitumia kinachojulikana kama taaluma yako ya zamani ya ujasusi kumfanyia kazi Allan hasa baada ya wasaidizi wako wapya ulioanza kuwaingiza kutoka katika maeneo flan flan kukueleza kuwa eti Allan amekuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline.

Hata kama walikuambia hivyo, ndio umteke sasa mbona ni jambo la kishamba! Watu wanakutwa ugoni wanarudiana, Allah kamla Jacqueline unamind!!Mwache kijana ale maisha...vijana wachangamshane wewe mwenyewe unajua kimoja tu[emoji2944]

Tunajua kuwa Allan katika mkutano wako wa hivi karibuni ulimtambulisha kwa walinzi wako wapya rasmi na kumbadilishia baadhi ya majukumu kama kushika dollar na kusimamia miradi yako Lindi.

Tuko tayari kuwaanika watu mengi zaidi ikibidi ila ngoja ujitafakari.Wengi tulishangaa kukusikia ukizungumzia topic ya madai ya watu kutekwa wakati hata ukiwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhariri Kibanda alitekwa na kuteswa, Daktari Ulimboka alitekwa na kuteswa, Profesa Mwaikusa aliuawa kikatili kama ilivyokuja kumtokea pia Dkt. Mvungi lakini hukuwahi kukemea wala kutamka lolote.

Tukajua ni mkakati wako tu wa kisiasa kumbe ulikuwa na lako jambo.Jacqueline amewaeleza wengi ikiwemo marafiki zake ambao wengine ni madem zetu. Wanawake hawafichani sana kama wanaume.

Kuhusu ulivyoanza kutoa vitisho dhidi ya Allan na kutumia mkutano ule kumlengesha kwa kikosi chako kipya walijulishwa na walikuwa wanatuasa sisi marafiki wa Allan.

Umma ufahamu kwa nini uliamua kukata shauri la kumdhuru kijana huyu Allan?

Sisi Marafiki wa Allan tunataka kujua na ikibidi tutatoa picha za watu wako maalum uliokuwa nao pale Mahakamani kwa lengo la kumuona vizuri Allan kwa karibu na kutimiza malengo uliyoyapanga.

Tunaomba utuambie Jack ni nani kwako na kwa nini ulikuwa unamtuma sana Allan kwake na kisha ukaanza kuleta mambo ya wivu wakati kijana kajiongeza kwa manufaa ya kizazi chake?

*Kwako Dada Mrembo Jacqueline Mushi:*

Tunafahamu kwa sababu ya mahusiano yako binafsi na Mzee Membe - Allan amekuwa sehemu ya maisha yako pia, akitumwa kukuletea kila ulichotaka na ulichotamani.

Lakini tunajua unajua jinsi Membe alivyoanza kuleta mambo ya ukuda na wivu na kumtuhumu Allan kuwa anatoka nawe Jacqueline.

Tunataka umma ufahamu vitisho alivyokuwa akivitoa Mzee Membe kwa Msaidizi wake huyu na ahadi alizokuwa akikwambia kuhusu Allan iwapo angethibitisha kuwa mnamsaliti.

Tunataka jambo hili liishe kwa kuweka bayana vitisho vya shemeji yetu (Membe) na uwasaidie wachunguzi kwa kuwaambia ahadi Mzee alizokuwa akizitoa mbele yako kuhusu Allan.

Usipofanya hivi, sisi marafiki wa Allan hatutakuwa na jipya zaidi ya kuyatangaza hadharani.

*Jeshi la Polisi:*

Mjue tu kwamba sisi marafiki wa Allan katika hili hatutaki mchezo, tunataka mtimize wajibu wenu.

Tunataka Membe ahojiwe kuhusu mazingira tata ya yeye kuanza kumzunguka msaidizi wake na kumwandalia vikosi vya kumfuatilia na kumpoteza.

Tunataka pia mumhoji vya kutosha huyu mrembo Jacqueline na aeleze kwa kina anayoyajua kuhusu mipango ya kumdhuru Allan maana imefahamika kutoka kona za jiji kuwa Allan alikwenda kumla Jacqueline - Mzee Membe akabaini na kumchukua juu kwa juu na watu wake wa ulinzi.

Kama nanyi mtashindwa kutekeleza wajibu wenu, msitulaumu!Tunayo mengi lakini umma ujue tu sisi marafiki tumeumia sana na we have an inside story of it.

_#BringBackAllan
 
*MEMBE, ALLAN NA JACK; PEMBE TATU YA SIASA, MAPENZI NA USALITI?*

Sisi Marafiki wa Allah tunasoma sasa hivi mitandaoni taarifa za kupotea ndugu yetu Allan. Kama kawaida tunaona maneno yale yale ya kila siku. Kwa namna inavyotukereketa, hebu tutafakari haya kuhusu Allah Kiluvya.

Nawaomba tu Watu wajue, hili suala sisi marafiki wa karibu wa Allan tulioguswa zaidi na kutoweka kwa rafiki yetu tuna maombi matatu muhimu kwa watu mbalimbali kutokana na tunayoyafahamu Allan na yaliyokuwa yakimsibu hivi karibuni kama mtu mzima:

*Kwa Bernard Membe:*

Ndugu Bernard Membe tunakuheshimu sana, na ndio maana tunaandika hapa tukikuomba usaidie sana katika hili la ndugu yetu Allan.

Allan amejitoa sana katika maisha yako na hili unafahamu sana. Allan amepita katika majaribu mengi, unafahamu. Allan aligeuka kuwa moyo wako hata kuruhusu kufahamu nyumba zako ndogo zote.

Lakini katika hili tunaomba msaada wako usio na kupepesa mawazo wala macho.

Tunafahamu umekuwa katika siku za karibuni na sintofahamu ya kijamii na Allan kwa kiwango cha kutafutana kimbinumbinu ambazo sisi Allan amekuwa akitudokeza kwa vina bila kueleza kwa kina.

Ngoja tuwe wazi japo kdg kwa sasa...inaonekana huyu dada aitwaye Jacqueline Mushi ndio amekuwa chanzo cha sintofahamu yenu na kwa asilimia nyingi huenda kimesababisha yote haya.

Tunakuomba jambo moja tu muhimu; Allan kupendwa na mpenzi wako Jacqueline ni kosa la nani?

Mbona ulimuamini na akawa kiungo cha urafiki wenu! Kwa nini umemgeuka na kujenga uhasama?

Mmeficha ila inajulikana kuwa siku za karibuni umekuwa ukitumia kinachojulikana kama taaluma yako ya zamani ya ujasusi kumfanyia kazi Allan hasa baada ya wasaidizi wako wapya ulioanza kuwaingiza kutoka katika maeneo flan flan kukueleza kuwa eti Allan amekuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline.

Hata kama walikuambia hivyo, ndio umteke sasa mbona ni jambo la kishamba! Watu wanakutwa ugoni wanarudiana, Allah kamla Jacqueline unamind!!Mwache kijana ale maisha...vijana wachangamshane wewe mwenyewe unajua kimoja tu🤦🏻‍♂️

Bahati nzuri watekaji na wanaowatuma ni majitu mashamba sana. Kwa kuandika hivi tu mmeshaonesha ninyi ni watu gani. Hakuna mtu atameza hii DISTRACTION yenu. Go tell it to the pigs.

Tunamtaka Allan. Mrudisheni Allan
 
Ila kwa nini wakati wanapopatikana ama wanapoonekana hawasemi nini kiliwakuta

Mdude alisema. Roma alisema. Wengine hawajarudi mpaka sasa.

Kila mtu ana uwezo wake wa kuhimili mateso makubwa wapatayo. Hivyo anayeamua kukaa kimya tumwelewe kwa hakika.

Muhimu tukatae tabia hii inayozoeleka ya utekaji
 
*MEMBE, ALLAN NA JACK; PEMBE TATU YA SIASA, MAPENZI NA USALITI?*

Sisi Marafiki wa Allah tunasoma sasa hivi mitandaoni taarifa za kupotea ndugu yetu Allan. Kama kawaida tunaona maneno yale yale ya kila siku. Kwa namna inavyotukereketa, hebu tutafakari haya kuhusu Allah Kiluvya.

Nawaomba tu Watu wajue, hili suala sisi marafiki wa karibu wa Allan tulioguswa zaidi na kutoweka kwa rafiki yetu tuna maombi matatu muhimu kwa watu mbalimbali kutokana na tunayoyafahamu Allan na yaliyokuwa yakimsibu hivi karibuni kama mtu mzima:

*Kwa Bernard Membe:*

Ndugu Bernard Membe tunakuheshimu sana, na ndio maana tunaandika hapa tukikuomba usaidie sana katika hili la ndugu yetu Allan.

Allan amejitoa sana katika maisha yako na hili unafahamu sana. Allan amepita katika majaribu mengi, unafahamu. Allan aligeuka kuwa moyo wako hata kuruhusu kufahamu nyumba zako ndogo zote.

Lakini katika hili tunaomba msaada wako usio na kupepesa mawazo wala macho.

Tunafahamu umekuwa katika siku za karibuni na sintofahamu ya kijamii na Allan kwa kiwango cha kutafutana kimbinumbinu ambazo sisi Allan amekuwa akitudokeza kwa vina bila kueleza kwa kina.

Ngoja tuwe wazi japo kdg kwa sasa...inaonekana huyu dada aitwaye Jacqueline Mushi ndio amekuwa chanzo cha sintofahamu yenu na kwa asilimia nyingi huenda kimesababisha yote haya.

Tunakuomba jambo moja tu muhimu; Allan kupendwa na mpenzi wako Jacqueline ni kosa la nani?

Mbona ulimuamini na akawa kiungo cha urafiki wenu! Kwa nini umemgeuka na kujenga uhasama?

Mmeficha ila inajulikana kuwa siku za karibuni umekuwa ukitumia kinachojulikana kama taaluma yako ya zamani ya ujasusi kumfanyia kazi Allan hasa baada ya wasaidizi wako wapya ulioanza kuwaingiza kutoka katika maeneo flan flan kukueleza kuwa eti Allan amekuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline.

Hata kama walikuambia hivyo, ndio umteke sasa mbona ni jambo la kishamba! Watu wanakutwa ugoni wanarudiana, Allah kamla Jacqueline unamind!!Mwache kijana ale maisha...vijana wachangamshane wewe mwenyewe unajua kimoja tu[emoji2944]

Tunajua kuwa Allan katika mkutano wako wa hivi karibuni ulimtambulisha kwa walinzi wako wapya rasmi na kumbadilishia baadhi ya majukumu kama kushika dollar na kusimamia miradi yako Lindi.

Tuko tayari kuwaanika watu mengi zaidi ikibidi ila ngoja ujitafakari.Wengi tulishangaa kukusikia ukizungumzia topic ya madai ya watu kutekwa wakati hata ukiwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhariri Kibanda alitekwa na kuteswa, Daktari Ulimboka alitekwa na kuteswa, Profesa Mwaikusa aliuawa kikatili kama ilivyokuja kumtokea pia Dkt. Mvungi lakini hukuwahi kukemea wala kutamka lolote.

Tukajua ni mkakati wako tu wa kisiasa kumbe ulikuwa na lako jambo.Jacqueline amewaeleza wengi ikiwemo marafiki zake ambao wengine ni madem zetu. Wanawake hawafichani sana kama wanaume.

Kuhusu ulivyoanza kutoa vitisho dhidi ya Allan na kutumia mkutano ule kumlengesha kwa kikosi chako kipya walijulishwa na walikuwa wanatuasa sisi marafiki wa Allan.

Umma ufahamu kwa nini uliamua kukata shauri la kumdhuru kijana huyu Allan?

Sisi Marafiki wa Allan tunataka kujua na ikibidi tutatoa picha za watu wako maalum uliokuwa nao pale Mahakamani kwa lengo la kumuona vizuri Allan kwa karibu na kutimiza malengo uliyoyapanga.

Tunaomba utuambie Jack ni nani kwako na kwa nini ulikuwa unamtuma sana Allan kwake na kisha ukaanza kuleta mambo ya wivu wakati kijana kajiongeza kwa manufaa ya kizazi chake?

*Kwako Dada Mrembo Jacqueline Mushi:*

Tunafahamu kwa sababu ya mahusiano yako binafsi na Mzee Membe - Allan amekuwa sehemu ya maisha yako pia, akitumwa kukuletea kila ulichotaka na ulichotamani.

Lakini tunajua unajua jinsi Membe alivyoanza kuleta mambo ya ukuda na wivu na kumtuhumu Allan kuwa anatoka nawe Jacqueline.

Tunataka umma ufahamu vitisho alivyokuwa akivitoa Mzee Membe kwa Msaidizi wake huyu na ahadi alizokuwa akikwambia kuhusu Allan iwapo angethibitisha kuwa mnamsaliti.

Tunataka jambo hili liishe kwa kuweka bayana vitisho vya shemeji yetu (Membe) na uwasaidie wachunguzi kwa kuwaambia ahadi Mzee alizokuwa akizitoa mbele yako kuhusu Allan.

Usipofanya hivi, sisi marafiki wa Allan hatutakuwa na jipya zaidi ya kuyatangaza hadharani.

*Jeshi la Polisi:*

Mjue tu kwamba sisi marafiki wa Allan katika hili hatutaki mchezo, tunataka mtimize wajibu wenu.

Tunataka Membe ahojiwe kuhusu mazingira tata ya yeye kuanza kumzunguka msaidizi wake na kumwandalia vikosi vya kumfuatilia na kumpoteza.

Tunataka pia mumhoji vya kutosha huyu mrembo Jacqueline na aeleze kwa kina anayoyajua kuhusu mipango ya kumdhuru Allan maana imefahamika kutoka kona za jiji kuwa Allan alikwenda kumla Jacqueline - Mzee Membe akabaini na kumchukua juu kwa juu na watu wake wa ulinzi.

Kama nanyi mtashindwa kutekeleza wajibu wenu, msitulaumu!Tunayo mengi lakini umma ujue tu sisi marafiki tumeumia sana na we have an inside story of it.

_#BringBackAllan
Bogus
 
Kumbe wasiojulikana mpo mnazurura tu humu. Tatizo lenu mna akili ndogo mnashindwa kupindisha mambo kwa weledi. Mambo yenu mnafanya kienyeji mno.

Back
Top Bottom