Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
CCM hii iliyo kama kuku aliyenyeshewa mvua au ile ya Nyerere?
 

Tunaomba Allan apatikane hai!! Lakini na wewe watz sio wajinga, usituone mafala!!!!
 
Duu mzee baba ushawahi tekwa nini?
 
hii ungepeleka Facebook ingekua poa sana maana kule vilaza wamejazana
 
Mimi sielewi vizuri hapa.
Mhe. Membe alisikika akisema hii agenda ya utekaji au utamaduni mpya ifungwe kabla ya mwakani, la sivyo itakuwa agenda kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Swali, nani anatengeneza hii agenda? Na nani atafaidika na hii agenda hapo 2020? Nani itakula kwake endapo hii agenda itaenda mpaka 2020?
Je, ni hujuma? Nani anahujumu?
 
Ila kwa nini wakati wanapopatikana ama wanapoonekana hawasemi nini kiliwakuta
 
Umejitanabaisha kwenye maelezo yako kama mtu mwenye jinsia ya kiume.
Sasa mbona unatumia ID ya mama mzungu?
 

Bahati nzuri watekaji na wanaowatuma ni majitu mashamba sana. Kwa kuandika hivi tu mmeshaonesha ninyi ni watu gani. Hakuna mtu atameza hii DISTRACTION yenu. Go tell it to the pigs.

Tunamtaka Allan. Mrudisheni Allan
 
Ila kwa nini wakati wanapopatikana ama wanapoonekana hawasemi nini kiliwakuta

Mdude alisema. Roma alisema. Wengine hawajarudi mpaka sasa.

Kila mtu ana uwezo wake wa kuhimili mateso makubwa wapatayo. Hivyo anayeamua kukaa kimya tumwelewe kwa hakika.

Muhimu tukatae tabia hii inayozoeleka ya utekaji
 
Bogus
 
Kumbe wasiojulikana mpo mnazurura tu humu. Tatizo lenu mna akili ndogo mnashindwa kupindisha mambo kwa weledi. Mambo yenu mnafanya kienyeji mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…