Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Mtu hana impact yoyote ya maana kwenye GDP anatekwa! Bora zama za ukoloni, ngozi nyeusi na nyeupe walizichapa kupinga uonevu. Mtu unataka kwenda Mbeya unapitia Mombasa!
Na sisi tuzichape mkuu au wewe unaonaje
 
Kweli kabisa!
 
Mkuu informer, ujumbe wako ni upi hasa: wasifu wa Membe au taarifa ya kupotea kwa msaidizi wake?!

Kwanini sehemu kubwa ya taarifa yako ni wasifu wa Membe kuliko mlengwa aliyepotea!?

Mwenyezi Mungu amjalie afya mtekwaji arejee salama.
 
Habari za leo Kaka Musiba...ule utetezi ukiambiwa na mahakama uupeleke mwisho wake ni kesho au umeona utumie njia nyingine kuwasilisha utetezi wa kumchafua member? Safi Sana Kaka
 
Aisee leo jumapili mkuu hayo unayatoa wapi na kwa Nani acha uongo penda kuongea ukweli
 
Daah nchi yetu hii imeshaharibika aisee, mungu tunusuru na janga hili
 

Bashite(makonda) na Msiba(Cyprian) washukiwa namba moja.
 
Hili la kutekwa kusurubiwa na watu wasiojulikana limekuwa ni jambo la kawaida kwa awamu hii ya 5 je hao watu wasiojulikana hawjulikani kweli? ''Kidnapping by unknown gangs it is becoming a business as usual we are smelling a rat''
Mbona tayari wanajulikana baada Shujaa Zakaria kuwachabanga wawili shaba na wenzao kushindwa kuwaacha majeruhi ndio wakajitangaza kuwa "sisi ni usalama aka wasiojulikana, tafadhali mzee Zakaria usitumalize"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…