Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 779
- 4,564
Hivi uyo musiba ni nani Selikalini!!?Bado kidogo musiba ataanza kuogopwa kama bashite, tuliwaambia musiba analindwa na grader hamkusikia ona sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uyo musiba ni nani Selikalini!!?Bado kidogo musiba ataanza kuogopwa kama bashite, tuliwaambia musiba analindwa na grader hamkusikia ona sasa
Ndiwo ndiwo mkuuKama ilivyoenda ya baba Askofu [emoji23][emoji23]
Atakuwa kafanya mistake kaonekana kwenye radar. Dah hatari sana kupambana na kikundi kile
Je kama ndio katekwa?kigogo huu ndio uwanja wako sasa wa kujiachia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Hatari kweli kweliIle nyumba aliyotuonyesha Kigogo inafaa kuanza nayo au afuatwe mama mkwe.
''Untouchable'' in simple words he is above the Laws. He can speak any thing any where and write any thing he wants toHivi uyo musiba ni nani Selikalini!!?
What if ndio yeye katekwa?ha ha
Kama ndugu yako ndio ametekwa, kismayu sio mbali, ukishakamilisha unawapelekea kwa njia ya bodaboda kipindi wamelala.Hatari kweli kweli
Sio kweli, ila wanaomtumia ndio untouchable. Na hata BM hapambani na Musiba bali wanaomtuma Musiba''Untouchable'' in simple words he is above the Laws
Kwaiyo alikuwa jeuri sana?Atekwe na membe mwenyewe ili mradi tuheshimiane hapa mjini
Namba lazima tuzisome wote
Huyo allan awamu iliyopita alikuwa hagusiki
Taarifa ya utekaji ni chini ya masaa mawili. Kwa hiyo inawezekana piaYeye alikua active two hours ago. Unless km utekaji umefanyika asubuh hii.
HaiwezekaniSiku atekwe ridh moko, tuone
Mh Lissu alishasema kuwa wakiwamaliza wapinzani wataanza kuwateka wana ccmAisee, sasa imekuwa CCM wenyewe kwa wenyewe, hongera CCM
Ccm sasa naona wanakata rohoWakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.
Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.
More to follow