Mkuna mgongo
Member
- Dec 9, 2019
- 87
- 137
Penzi la beki tatu sehemu ya 1...
Iman yangu wazima nyote!
Sikuwahi kuandika chochote humu ingawa ni msomaji mzuri wa nyuzi humu jukwaan hasa jukwaa hili.
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali ambapo hapo ofisini nafanyakazi na madam ambaye anaishi katika nyumba za taasisi (kotazi) ambazo ziko jirani na hapo ofisini au . Mimi nimepanga mtaani hivyo huwa nakuja kazin na kurudi home ambapo pana umbali kama km 3 hivi.
Mimi na huyo madam tumezoeana sana na tuna ukaribu zaidi ya mfanyakazi yoyote hapo kazini kwahiyo swala la mimi kwenda kwake ni kawaida sana tena mara kwa mara. Madam ana watoto wawili hivyo ni lazima awepo mdada wa kazi atayemsaidia kipindi yeye akiwa kazini, hapo nyuma alikuwa na dada wa kazi "beki tatu" lakini alimtoroka siku hiyo akiwa kazini. Basi baada ya huyo beki tatu kutoroka ndo akamleta mwingine huyo kutoka huko maeneo ya Manyara, mtoto mweupe kama mwarabu akicheka ana dimpozi, umbo zuri lililoambatana na kalio(ugonjwa wa vijana wengi kwa sasa) hakika alikuwa binti mzuri ambaye mwanaume yoyote angevutiwa nae.
Hapo kwa madamu ni waumini wazuri wa dini ya kiislam hivyo hakuruhusiwa kutoka nje Mara kwa mara na akitoka basi anajfunkiwa sehem kubwa ya mwili hvyo ilikuwa vigumu kumuona akiwa nje lakini mimi kwa vile nilikuwa naingiaga basi nkawa namuona japo kwa kuibiaibia.
Sasa nakumbuka ilkuwa mwezi wa 12 mwaka 2019 madam alipata likizo hivyo akaenda kwao, akaondoka na mtoto mmoja aliyekuwa mdogo sana alafu hapo kwake akamuacha huyo beki tatu na baba mwenye nyumba ambaye ni mmewe na huyo madam.
Baba mwenye akawa sio mtu wa kushinda nyumbani yaan mara nyingi anaondoka asubuhi na kurudi jioni sana na wakati mwingine usiku. Hapo ndo nilipoanza kuzoeana na yule binti maana me ndo alkuwa akinijua na ndo niliweza kuingia pale ndani kutokana na mazoea yaliyopo kati yangu na madam.
Siku moja nilikuwa na kazi ya kiofisi ambayo ilihitajika haraka, kuna mambo kadhaa yaliyohitajika kujazwa kwenye fomu nikaona nahitaji mtu wa kunisaidia kujaza. Nikawaza nikamkumbuka yule binti maana alkuwa kamaliza form four.
Basi nikaenda pale kwa madam nikagonga mlango ukafunguliwa, akatoka nje nikamuuliza "vipi kwema hapa"?, akaijibu " kwema kabisa sijui wewe utokako" nikamwambia " si shwari sana maana nibenwa ile mbaya na makazi alafu sina msaada".
"Mmh...kikubwa nini kilichozidi"? Akauliza.
Nikamwambia "kuna kazi hapa natamani unisaidie na niko tayari kukulipa" akasema " sa mimi ntaweza kweli maana sikusomea hayo mambo yenu", nikamwambia " usijali sio kazi ngumu isitoshe umemaliza kidato cha nne hvyo nkikuelekeza unaweza kuifanya' .
Akakubali ikabidi tuingie ndani nimuelekeze kazi lakini mimi kichwani nawaza naanzaje kumwambia kuwa nmeshanasa kwake, alafu anatabasam kila muda na akitabasam utatamani umrukie na kumkumbatia anvyokuwa mzuri zaidi usoni.
Basi baada ya kumwelekeza nikatoa noti ya elfu tano nikampa nikamwambia "hiyo nakupa ili upate nguvu ya kufanya kazi, ukimaliza ntakuongeza" akajibu " sawa" akapokea. Nakawa natoka nje nkiwa bado sijapata mbinu ya kumtokea dah!
Nilipokuwa navaa viatu ndipo mbinu ya kivita ikanijia haraka sikuchelewa nikamwambia, " chukua namba yangu hii ili kama ukipatwa na tatzo basi unicheki nikuelekeze" dah mtoto akarespond faster, nikamtajia namba yangu akaandika kwenye simu yake.
Baadae sana naona inaingia text "hoya hii kazi yako inanchanganya itabidi uje unielekeze kitu", nkajua yeess nshampata huyu kwa njia hii. Basi tangu hapo tukaanza kuwasiliana tens mara kwa mara na ndo nilianza kumtokea mtoto huyo wa kirangi. Nilianza kumsifia kwa jinsi alivyobarikiwa na mungu kwa uzuri aliobarikiwa " hey mrembo mambo vipi?"
Yeye"nani mrembo mbona mimi wakawaida tuu" Mimi " hapana we ni mzuri maana mm sijaona kitu kibaya katika mwili wako, kuanzia ngozi nyororo na rangi yake hiyo ya udongo wa makha, macho ya brown, miguu ya bia na ukicheka hivyo vidimpozi!!
Hakika we we mzuri na amini hakuna mwanaume ambaye hawezi kuvutiwa na we we hata me ushaninasa" yeye " mmh...lakini siona kama nna uzuri huo hata hvyo nashukuru kwa kunisifia". Mimi " hapo umeongeza kitu ambacho sikujua, una tabia nzuri na lugha ya kumjibu mtu maana wengine hawajali na hawawezi kujibu vzuri kama we we hapo umeniongezea asilimia ya upendo wangu kwako"
Akajibu " sawa hata me nashukuru kwa maneno yako ambayo yananifanya nijione kumbe na mimi naweza kusimama mbele ya wastaarabu .ahahaha".
Huo ndo ukawa mwanzo wa uhusiano wetu na nkawa nikitoka home asubuhi lazima nipitie hapo nihakikishe napata kumbatio lake ndo naingia kazini. Wakati mwingine natoroka kazini naingia hapo kwa madam napiga story na huyu binti na kupata romance then naondoka nikiwa mwenye furaha narudi ofisini.
Tatizo likawa kutoka ili tukapeane utam, akawa anadai hawezi kutoka maana hawezi kumuacha mtoto peke yake na haifai kuondoka nae, kwahiyo nkawa napata romance tuu.
Nakumbuka siku moja ilikuwa wikendi akanambia niende tukapige story maana anakuwa mpweke sana, basi mzee nkasema "leo lazima nile ule mzigo haiwezekani kila siku niisbie na denda tuu"..... Itaendelea