mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
Asante mkuu huyu mtoto ni mrangi wa manyara au ?๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warangi wanapatikana kondoa na huyu alitoka babati ambapo wiliya hizi zinapakana kwahiyo wanaingiliana kimazingiraSamahani lkn
Warangi ni wa mkoa gani?
Mrangi mwenye asili ya kondoa lakini anaishk Babati mkoa wa Manyara ambapo wilaya hizi zinapakanaAsante mkuu huyu mtoto ni mrangi wa manyara au ?๐๐๐๐
Hapana mkuu sio hivyo, ye anatokea wilaya ya Babati mkoani Manyara na wilaya hii inapakana na Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma hivyo wanaingiliana sanaEt ni wa manyara sasa si itabidi wambulu waende kondoa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuja hivi pundeSehemu ya 3 iko wap au imeisha hiyo