mbeyakwetu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 723 Reaction score 394 Apr 2, 2020 #21 Asante mkuu huyu mtoto ni mrangi wa manyara au ?ππππ
Therapist 2015 JF-Expert Member Joined Aug 4, 2018 Posts 791 Reaction score 831 Apr 2, 2020 #22 . Sent using Jamii Forums mobile app
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,806 Apr 2, 2020 #23 Sehemu ya 3 iko wap au imeisha hiyo
Mkuna mgongo Member Joined Dec 9, 2019 Posts 87 Reaction score 137 Apr 2, 2020 Thread starter #24 PutinV said: Samahani lkn Warangi ni wa mkoa gani? Click to expand... Warangi wanapatikana kondoa na huyu alitoka babati ambapo wiliya hizi zinapakana kwahiyo wanaingiliana kimazingira
PutinV said: Samahani lkn Warangi ni wa mkoa gani? Click to expand... Warangi wanapatikana kondoa na huyu alitoka babati ambapo wiliya hizi zinapakana kwahiyo wanaingiliana kimazingira
Mkuna mgongo Member Joined Dec 9, 2019 Posts 87 Reaction score 137 Apr 2, 2020 Thread starter #25 mbeyakwetu said: Asante mkuu huyu mtoto ni mrangi wa manyara au ?ππππ Click to expand... Mrangi mwenye asili ya kondoa lakini anaishk Babati mkoa wa Manyara ambapo wilaya hizi zinapakana
mbeyakwetu said: Asante mkuu huyu mtoto ni mrangi wa manyara au ?ππππ Click to expand... Mrangi mwenye asili ya kondoa lakini anaishk Babati mkoa wa Manyara ambapo wilaya hizi zinapakana
Mkuna mgongo Member Joined Dec 9, 2019 Posts 87 Reaction score 137 Apr 2, 2020 Thread starter #26 harder king said: Et ni wa manyara sasa si itabidi wambulu waende kondoa[emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hapana mkuu sio hivyo, ye anatokea wilaya ya Babati mkoani Manyara na wilaya hii inapakana na Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma hivyo wanaingiliana sana
harder king said: Et ni wa manyara sasa si itabidi wambulu waende kondoa[emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hapana mkuu sio hivyo, ye anatokea wilaya ya Babati mkoani Manyara na wilaya hii inapakana na Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma hivyo wanaingiliana sana
Mkuna mgongo Member Joined Dec 9, 2019 Posts 87 Reaction score 137 Apr 2, 2020 Thread starter #27 Goddess said: Sehemu ya 3 iko wap au imeisha hiyo Click to expand... Inakuja hivi punde