vyumba viwili nikiwa sina vitu vya kuweka kwenye chumba chapili nahisi itakua ni kupoteza pesa mkuu,gharama ya kuongeza chumba cha pili kwanini nisiongeze kidogo ikamlipa msaidizi?Mkuu fanya upange hata vyumba viwili kwanza ndo utafute msaidizi
wadada wa vijijini sio sio sio sishauri mtu kutafuta mdada toka kijijini tena kupitia kampuni hizi za wadada au mtu yeyote.kama kuna tasisi ya kusaidia upatikanaji wa wadada wa kazi tusaidieni mawasiliano yake
hwa wadada/wakaka wa kuokoteza vijijini nafikiri tuachane nao
mtu anakuja leo keshokutwa anaomba kuondoka kwambaq kaitwa na babu yake
akifika huko unaambiwa ukajitambulishe na urudi naye
karibu PM mkuu,yupo mmoja amekuja PM nmepanga kuonana nae LEO lakini akipatikana mwingine wakiwa wawili sio mbaya.Habari mkuu!
Kuhusu shamba i.e MLANDIZI umeshapata kijana?
Tuna vijana wengi wenye uhitaji wa shughuli/kazi za bustani, shamba, etc
Heri nyie mmepigwa tukio inaeleweka,siku hizi tekniki yao ni 1 hawa watu wa makampuni,Wanakutaftia mdada ambae washachonga nae mchongo,wanakwambia Inahitajika NAULI ya kumtoa alipo na mara nyingi utaambiwa mdada anatoka mbali na mkoa ulipo wewe so nauli itaanzia 45,000 ukiweka na makato utawapa kama 50k kwa ajili ya nauli.Hao wa kampuni ndo balaa zaidi. Sisi tuliwahi kupigwa tukio na housegirl wa kampuni, baada ya kufuatilia ikaja kugundulika ni mpango wa hiyo kampuni huwa wanachonga madili na hao wadada kupiga matukio wakishaanza kazi sehemu.
sio tu awe anatafuta kazi lakini pia Ajue na Upishi lengo la kutafuta msaidizi kwa upande wangu ni kuokoa GHARAMA.Kuna mtu anatafuta kazi ngoja nimpe tangazo lako
Kijana huku kusini kushakupa mke nini?Njoo kusini wewe acha ushamba upate pc wa mapenzi mengi.hakunaga ukorofi njoo shamba tukupe mtoto aliyetulia af uone Kama hutoboi life.100%
Wananichanganya Sana watoto wa Huku kwanza wazuri wengi hawajanyata Kama watoto wa chuga wa kwetu kule vimiguu havieleweki..Huku baba nikioa nitajinyima mengi ngoja kwanza nimalize ujana kdgKijana huku kusini kushakupa mke nini?
Nitakuja huko mwezi ujao..hapo Mtwara..Wananichanganya Sana watoto wa Huku kwanza wazuri wengi hawajanyata Kama watoto wa chuga wa kwetu kule vimiguu havieleweki..Huku baba nikioa nitajinyima mengi ngoja kwanza nimalize ujana kdg
Karibu Sana...ugimbi napiga ila nimehama kdg kutoka local beer sa hv nimetokea kuzikubali Sana Desperado za kampuni ya heiniken Zina 5.9% aloo ukipiga nne safiiiiiiNitakuja huko mwezi ujao..hapo Mtwara..
Uje tupige ugimbi..au umeacha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnyaturu mwenzangu tunakushauri tukutafutie houseboy au Kama utaforce housegirl Basi uambatanishe na kishika UCHUMBA kwa sababu sote tunajua lazima umrombe TU binti wa watu nyau wewe [emoji23]
Karib haswa me utanikuta Lindi town kwanza mashujaa amusement park imejengwa beach ndo chimbo langu.labda TU niwe nimetoka site ruvuma huko.Nitakuja huko mwezi ujao..hapo Mtwara..
Uje tupige ugimbi..au umeacha?
huogopi kutangulia wewe,ujana sio mzuri ukiufatshaWananichanganya Sana watoto wa Huku kwanza wazuri wengi hawajanyata Kama watoto wa chuga wa kwetu kule vimiguu havieleweki..Huku baba nikioa nitajinyima mengi ngoja kwanza nimalize ujana kdg
Tatizo sio nauli tu, muda pia. Ikiwa jirani unafanya kazi huku mambo yako mengine yanaendeleakama unatoka sehemu ambayo unatumia zaidi ya 2000 nauli ama hakika n mbali..
[emoji23][emoji23]...Zed tumeacha sio?..daah kweli pesa tamu.Karibu Sana...ugimbi napiga ila nimehama kdg kutoka local beer sa hv nimetokea kuzikubali Sana Desperado za kampuni ya heiniken Zina 5.9% aloo ukipiga nne safiiiiii