Msaidizi wa Kufua/ kupika na Kufanya usafi Kwangu

huogopi kutangulia wewe,ujana sio mzuri ukiufatsha

hivi kusini hasa n mkoa upi uliopo ili nianzie huko huko ulipo muda ukifika
Anzia kilanje lanje,mchinga kwa mama salma kikwete njoo na mitwelu shuka shimoni Paris a.k.a Lindi twende mpk mnazimmoja pacha tuamue Kama tukatafute mmakonde wa mtwara au twende kwanza masasi pc Kali zote ukishindwa tunasogea pande za tunduru kwa wayao...hukosi mke wa maana kote huko...Kuna mabaki ya kiarabu Kama yote
 
Tatizo sio nauli tu, muda pia. Ikiwa jirani unafanya kazi huku mambo yako mengine yanaendelea
Ni kweli mkuu, kwa mtu alie jiran nadhani ilikua kapata part time job kazuri sana ambayo ingempa uhuru kufanya na mambo yake mengine
 
[emoji23][emoji23]...Zed tumeacha sio?..daah kweli pesa tamu.

Nitakuja we niandalie tu mtoto mmoja wa kimakonde..
Labda siku nimenasa kbs Basi mbadala wake NI smart gin au hensen choice..ila Kama hela Zipo asee mpe darmian mafungu mawili kwanza atoe tu mwani Kisha ndo tujue tunaanzia wap
 
Kweli Tanzania ina maeneo ya kufanya utaliii mengi kumbe,Acha muda ufike nione,kweli nmeamini usioe mapema kabla hujaizunguka hii nchi ukaimaliza ili unapoamua kuchukua maamuzi ya kujitia kitanzi cha ndoa akili iwe imejiandaa kisaikolojia.
 
Labda siku nimenasa kbs Basi mbadala wake NI smart gin au hensen choice..ila Kama hela Zipo asee mpe darmian mafungu mawili kwanza atoe tu mwani Kisha ndo tujue tunaanzia wap
Sijakusoma hapo kwenyd kutoa mwani mzee..
 
Sijakusoma hapo kwenyd kutoa mwani mzee..
Kutoa mwani=kutoa arosto yaani NI Kama kutoa lock unakata kiu bia zako kadhaa then tunachukua nyama yetu kilo mbili tukimaliza ndo tunaamua Sasa tukamalizie wapi ila sikufichi mtwara hamna ishu twendezetu masasi pa ukweli utapakubali
 
Masasi ndo panapohappen kumbe..tutasogea hapo.
 
Daaah... ungekua Kinondoni huku ningekuunganisha na mdada wangu. Yupo poa sana Mama Jaki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daaah... ungekua Kinondoni huku ningekuunganisha na mdada wangu. Yupo poa sana Mama Jaki
Natamani sana kuhama huku nnje ya mji nikae sehemu kama huko sema kukaa huko kati kati ya mji kwa kutegemea daladala,nitaumbuka asee.

Ngoja nijibane bane Mungu anione nikianza tembea nimekaa lazima nije huko Town.
 
Wengine hatupendi kupoteza muda barabarani... Ninapoishi job ni 15 minutes
 
Tatizo watu wa jf ni kupeleka fikra kwingine. Sasa mtu amesema anahitaji mwanamke awe msichana,mmama ama hata bibi ili mradi amfanyie kazi zake kwa amani.

Sasa angekuwa anahitaji mtu wa kufanya naye mapenzi si angesema direct lazima awe binti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole

umeathirika kisaikolojia, mbaya zaidi hadi marafiki na wakuzungukao wamekuvimbisha njia ulioichagua. ipo siku utaonja upande mwingine wa mapenzi na utajuta kuchelewa kuujua.

kwa kukuonea huruma tu nitakushauri, jaribu kuzaa kwanza, ulee watoto, na mkeo hao watakupunguzia majukumu.

hivi umeshajiuliza

huyo ataefua hadi boxer zako siku akikuzindika usipate sperms za kupata mtoto na unavojiona mjuaji hutaki kuoa?
 
Thank you so so so much for this comment
 
umeathirika kisaikolojia
Labda

ipo siku utaonja upande mwingine wa mapenzi na utajuta kuchelewa kuujua.
Unahisi hadi umri nilio nao ntakua bikra wa mapenzi?

unavojiona mjuaji hutaki kuoa?

Mimi na wewe nani Mjuaji? Maana unakimbilia kudandia treni kwa mbele,Unaijua background yangu ya mapenzi?

jaribu kuzaa kwanza, ulee watoto, na mkeo hao watakupunguzia majukumu
I feel sorry for you Madam! Aliekwambia sina mtoto ni nani? mbona uko too much know we kadada?

Anaetafuta msaidizi siku zote unahisi hana mke au hana familia si eti? Sikia nikuelimishe we bibie,sio kila anaetafuta msaidizi hana Mke au Hana Familia.

Eti watanipunguzia majukumu,heeeeeeeeeeyyyyy mxiueeeeew! Acha ujuaji na kujudge maisha ya watu usiowajua A wala B...

Eti utaonja upande mwingine halafu nijute kuchelewa kuujua,huhuhu huhuhu aseeeee Where is this ID come from jemeniiiiii!

Nyie ndio wale mkiokota Burungutu la PESA mnawehuka maana hamjazoea hizo mambo,au upate kismati chochote unawehuka,u know why? cause u were not in such blessings before so unaona ni mamiracle tu...

Usijilinganishe na ushamba wako ukafkiri wote n washamba wa hayo mambo,mahaba mapenzi wengine tulianziaga Tangu tukiwa tumboni mwa mama zetu, Shubhaaaamit....

Hellouw!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…