Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popote pale ndani ya NchiUkiwa Kajunjumele au Mwanjelwa?
Inatakiwa polisi ambao labda wamepewa maelekezo ya nini wamfanyie huyo mlinzi,wadhibitiwe kivyovyote ili wenzao pia wakipewa maelekezo,wakatae kua ni hatari kwetu sisi.Hii ya kuona dhuluma inafanyika,halafu hakuna kinachofanyika,itafika mahali,ninyi CHADEMA mkose hata walinzi,kwa hofu ya kufanyiwa fitna.
Kila ubaya utalipwaHuko Mbeya baada ya Kishindo cha Tunduma ...wamezuia Chopa lisipasuwe anga la
Mbeya....
Kila siku siyo jumapiliMwenye mishe zake amesharudi tutegemee watu kupotea tena
Dah pole sana, si jambo zuri hata kidogo tunalaani wasiojulikana na kama sio fumanizi au uporaji.
Kuna haja ya Raia kujilinda wenyeweDah pole sana, si jambo zuri hata kidogo tunalaani wasiojulikana na kama sio fumanizi au uporaji.
Sasa polisi haaminiki, mahakama haiaminiki hapa ni ICC tu hakuna namna nyingine....
Huu si utetezi ni ufala uliopitiliza
HayaHuu si utetezi ni ufala uliopitiliza
Nafikiri suala la Lissu kuanzisha chama ni za uongo, hata kama wanatofautiana lakini si kiwango cha kuanzisha chama. Nakataa uzushi wa Lissu kuanzisha chama kwani Lissu anajua wazi kuwa Serikali ya CCM haiwezi kuruhusu jambo hilo,wote tunajua kuwa Msajili wa vyama anafanya kazi kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM. Hizi ni mbinu tu za kuchochea mgogoro ndani ya Chadema.Kwa hali ilivyo na tetesi zinazozagaa kwa kasi sana juu ya kutofautiana kwa Mbowe na Lissu ni wazi kuwa maneno ya kuwa Lissu anataka kuanzisha chama chake ni ya kweli na si ya kuyabeza hata kidogo.
Siku ya jana katika mkutano na Diaspora Lissu amesikika akilalamika kwenye kikao cha ndani na Wanaharakati wa Diaspora huko Marekani kuwa;
“Mwenyekiti (Mbowe) anatumia njia haramu za kubaki madarakani. Ili kuhakikisha Mbowe anabaki madarakani, ameanzisha vikundi haramu vidogo vidogo ndani ya chadema. Vikundi hivyo viko karibu na Mwenyekiti (Mbowe) wale walio wa Mwenyekiti kwa kuwa Mwenyekiti ndo anashikilia rasilimali za taasisi anatumia mfumo haramu kuwaneemesha watu wake kwa kutumia raslimali za taasisi na kuwakandamiza wote wanaoonekana wanapishana naye kimtazamo.”
Lissu amesema kuwa vikundi hivi vina wachumia tumbo, wanaopenda madaraka, na chawa wanaokwenda kujipendekeza kwa Mwenyekiti wa taasisi kwa malengo ya kujinufaisha binafsi na ndiyo watafuna ruzuku wakubwa.
Ameongeza kuwa vibaraka hao wamekuwa wakimuendea Mwenyekiti (Mbowe) na kumjaza maneno mabaya dhidi ya viongozi wenzao na kuzidi kuwafarakanisha viongozi wa chama hivyo kama ni chama ntawaachia na kujiunga nanyi.
Mgogorovkativya wawili hawa umekuwa mkubwa baada ya Kissu kumtuhumu Mbowe kupokea mabilioni ya pesa wakati wa maridhiano na kukiuka msimamo wa kikundi chao dhidi ya serikali ya CCM na zaidi ya yote kitendo cha Mbowe kung'ang'ania kuwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA mwaka 2025 ndicho kinachochea vurugu kiasi kwamba Lissu amesusa na kuamua kwenda kupumzika huko aliko.
Kauli ya Lissu kuwa Mbowe anatumia njia haramu kubaki madarakabi ni kauli nzito sana ukichukulia chama hiki kinakwenda kuchagua viongozi mwakani na hivyo ni dalili ya wazi kuwa Mbowe anataka kugombea tena uenyekiti wa milele ndani ya kikundi hicho.
Tunajulishwa kuwa Tundu Lissu akishirikiana na wanaharakati akiwemo Maria Sarungi wanataka kuanzisha chama kipya cha siasa kabla ya uchaguzi ujao na kuimegua kabisa CHADEMA.
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
View attachment 2799587Alifumaniwa. Ameokole