Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Kurudia makosa ni ujinga sasa! Tusiwaruhusu ccm watufanye wajinga!

Hata hivyo, kila mtu anatamaa zake, isije naye kumbe tamaaa za kijinga zilimwingia watu wakamchana chana na viwembe!
 
Inatakiwa polisi ambao labda wamepewa maelekezo ya nini wamfanyie huyo mlinzi,wadhibitiwe kivyovyote ili wenzao pia wakipewa maelekezo,wakatae kua ni hatari kwetu sisi.Hii ya kuona dhuluma inafanyika,halafu hakuna kinachofanyika,itafika mahali,ninyi CHADEMA mkose hata walinzi,kwa hofu ya kufanyiwa fitna.
 
 
Dah pole sana, si jambo zuri hata kidogo tunalaani wasiojulikana na kama sio fumanizi au uporaji.

Sasa polisi haaminiki, mahakama haiaminiki hapa ni ICC tu hakuna namna nyingine....
Kuna haja ya Raia kujilinda wenyewe
 
Mbona ghafla hivi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nafikiri suala la Lissu kuanzisha chama ni za uongo, hata kama wanatofautiana lakini si kiwango cha kuanzisha chama. Nakataa uzushi wa Lissu kuanzisha chama kwani Lissu anajua wazi kuwa Serikali ya CCM haiwezi kuruhusu jambo hilo,wote tunajua kuwa Msajili wa vyama anafanya kazi kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM. Hizi ni mbinu tu za kuchochea mgogoro ndani ya Chadema.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…