NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi wake na Meseji ya nyundo za mbavu (kutoswa).
Nashangaa sana, maana kumtongoza mke wa bosi kwa simu ni hatari sana na kama ni hivyo basi alikurupuka kwa kujiamini sana.
Nashangaa sana, maana kumtongoza mke wa bosi kwa simu ni hatari sana na kama ni hivyo basi alikurupuka kwa kujiamini sana.