Wengine wanasema kauliwa which is whichHuyo kajiua kukimbia aibu akaona amuharibie na masanja
Watu wanapenda umbea na negative news. Huyo alipoenda kuonywa na monica akiwa na mwanamke mwingine akaona mambo yameshaharibika.Wengine wanasema kauliwa which is which
habari mkanganyiko
okayWatu wanapenda umbea na negative news. Huyo alipoenda kuonywa na monica akiwa na mwanamke mwingine akaona mambo yameshaharibika.
Ni kiburi ndio kimemponza maana pengine alikuwa anaonekana mtakatifu sana sasa akaona itakuwa aibu ikijulikana.
Haiingii akilin kabisa!! Polisi huenda wameona waseme hivyo kwa maslahi mapana ya ndoa na malezi ya watoto kwenye familia ya Masanja!! Yaan polis wameona Bora watoe taarifa ambayo itarinda maslahi na malezi ya watoto... Sizan Kama Kuna mwanaume wakumtongoza mke wa mtu et akatae harafu ajinyonge,,hii haiingii akilinWatu wanapenda umbea na negative news. Huyo alipoenda kuonywa na monica akiwa na mwanamke mwingine akaona mambo yameshaharibika.
Ni kiburi ndio kimemponza maana pengine alikuwa anaonekana mtakatifu sana sasa akaona itakuwa aibu ikijulikana.
Wale wale mnaopenda mambo negative. Ishu hapo sio kukataliwa. Ishu ni kuwa exposed kwasababu tayari monica kashaenda na mtu mwingine.Haiingii akilin kabisa!! Polisi huenda wameona waseme hivyo kwa maslahi mapana ya ndoa na malezi ya watoto kwenye familia ya Masanja!! Yaan polis wameona Bora watoe taarifa ambayo itarinda maslahi na malezi ya watoto... Sizan Kama Kuna mwanaume wakumtongoza mke wa mtu et akatae harafu ajinyonge,,hii haiingii akilin
We vipi, kajiua baada ya kunyimwa kuendelea sio kupewa.Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi wake na Meseji ya nyundo za mbavu (kutoswa).
Nashangaa sana, maana kumtongoza mke wa bosi kwa simu ni hatari sana na kama ni hivyo basi alikurupuka kwa kujiamini sana.
Huo ndo ukweli, dada alikuwa hataki tu kumpa tena jamaa utamu labda baada ya kushtukiwa na mumeweHaiingii akilin kabisa!! Polisi huenda wameona waseme hivyo kwa maslahi mapana ya ndoa na malezi ya watoto kwenye familia ya Masanja!! Yaan polis wameona Bora watoe taarifa ambayo itarinda maslahi na malezi ya watoto... Sizan Kama Kuna mwanaume wakumtongoza mke wa mtu et akatae harafu ajinyonge,,hii haiingii akilin
Utetezi hafifu sana huuWale wale mnaopenda mambo negative. Ishu hapo sio kukataliwa. Ishu ni kuwa exposed kwasababu tayari monica kashaenda na mtu mwingine.
Jamaa anapingana na marehemu aliyesema Monica alimpa upendoUtetezi hafifu sana huu
ChaiNimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi wake na Meseji ya nyundo za mbavu (kutoswa).
Nashangaa sana, maana kumtongoza mke wa bosi kwa simu ni hatari sana na kama ni hivyo basi alikurupuka kwa kujiamini sana.
Haya mambo yana jambo nyuma yake. Ila kwa vile shetani nia yake ni kudhalilisha wanaomwendea tutajua tu. Hapo mbele.