Msaidizi wa Spika na Masurufu ya Millioni 70

Msaidizi wa Spika na Masurufu ya Millioni 70

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Je mtu mwenye akili timamu anaweza kujustify hizo pesa za bw.Ndalo alizotumia eti kwa safari za kikazi?Sam Six anaweza kuwa humo pia!
 
huyu spika 6 naye ni fisadi tu ..mi nashangaa anavojitutumua kujifanya anapinga ufisadi...mambo ya bunge la TZ ni kichefuchefu tupu
 
acheni majungu ufisadi wake ni nini ?labda wewe hujui maana ya ufisadi.kwanza 6 hapewi pesa mkononi pili inasemekana ni wahasibu na msaidizi wake ndio wanaopanga gharama za kusafiri,na sio 6 sasa iwaje yeye ndie fisadi ?yeye anachojua ni kupanda ndege na kwenda kwenye mikutano ya kikazi hayo ya pesa yanaidara yake ,kwa hiyo mkuu kigogo angalia kwanza facts sio uweke tu lawama ama majungu bureee tu.Nasikia spika habebi hata pesa ni wasaidizi wake
 
Je mtu mwenye akili timamu anaweza kujustify hizo pesa za bw.Ndalo alizotumia eti kwa safari za kikazi?Sam Six anaweza kuwa humo pia!

Tumeanza majungu,, kama hizo ametumia bila sababu ya kueleweka si vipo vyombo vya kudeal na issue kama hiyo?

Ina maana alienda akajichotea tu m70 na kusema ni za matumizi ya kikazi? Hata wale wa EPA walikuwa na makaratasi jamani!

lete data zaidi mkuu, la sivyo hizi allegations sio justified kabisa
 
..hapo anayetafutwa ni Samuel Sitta.

..wanaanza na wasaidizi wake mwisho watafika kwa mzee mwenyewe.

..CCM pamoja na watumishi wengi wa ngazi za juu wa serikali wameoza.
 
radikali unalipwa kutetea ujinga?watumishi wa bunge wanajua yote>hujasoma threads za nyuma kuhusu ufisadi wa six,na vimada wake.JF sio gazetu la uhuru ,mzalendo a, daily news au ujumbe wa leo!
suala lilikuwa je milioni 70 ni halali bila kutoareceipts !
Tanzania tumepoteza maadili whether uwe lawyer au accountant!

Maccountant wa tanzania ni ulaji,sio kutunza accounts vizuri
 
Neno moja tu kwamba Serikalini hakuna wahasabu maana wakiitwa wahasibu hakika wale hawataona ndani . CA na karani wake mh sijui kama kuna tofauti kubwa labda mmoja kaja na Degree na mwingine Certificate lakini utunzaji wao wa hesabu hakika ni kichekesho .Mnabisha ?
 
sita mbona alianza zamani TIC mambo haya ya ulaji...the mzoefu kwelikweli wa ufisadi
 
..uzuri ni kwamba Sitta hatakaa kimya kama Sumaye wakati mahasimu wake wanamchokonoa.
 
..uzuri ni kwamba Sitta hatakaa kimya kama Sumaye wakati mahasimu wake wanamchokonoa.

hicho ndio nachozipendea siasa za bongo sikuhizi,
sumaye alikaa kimya akajua ipo siku atasema,lakini ilimgharimu bwana,
 
hicho ndio nachozipendea siasa za bongo sikuhizi,
sumaye alikaa kimya akajua ipo siku atasema,lakini ilimgharimu bwana,


Lakini hatimaye leo Watanzania ndio wanajua Sumaye alikuwa ni kitukuu cha mafisadi...yaani hata kwenye meza kuu ya mafisadi haruhusiwi kusogea..!!! Time is a great healer.
 
Back
Top Bottom