Uchaguzi 2020 Msajili aonya mpango wa vyama kuungana Oktoba 3

Hakuna kuungana ,wananchi tuna uelewa na tunachohitajiwa kufanya,fulustopu.
 
Wanatuchanganya. Mimi naipigia kura CCM. Are you happy now?
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Nikipewa Urais wa siku moja,kufikia saa 10am mswaada wa kufutilia mbali ofisi hii utakuwa umeshawasilishwa bungeni,vyama vyote vya kisiasa visajiliwe Home affairs na kupeleka usajili wao tume ya uchaguzi.
Wewe siku moja, mimi ile namaliza kiapo tu natoa amri ofisi ivunjwe
 
Kitu chochote kinachofanyika nje ya utaratibu wa kisheria automatic hicho hakipo na hakitakubalika popote....

Wasiwasi wa msajili sijui unatoka wapi wakati sheria iko mezani kwake..

Mimi nilidhani jibu lake lingekuwa rahisi tu, kuwa, msajili hautambui muungano huo usio rasmi kwa sababu hauko kisheria na kwa hiyo wanapoteza muda wao tu...!

Anachokifanya msajili ni kilekile anachofanya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Mr Wilson Mahera....kumsaidia mgombea wa CCM, Magufuli kupiga kampeni...!!
 
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na kwamba walianza vizuri hivyo ni vyema kila mmoja akaendelea kunadi sera zake.

Nyahoza ametoa kauli hiyo hii leo Oktoba Mosi, 2020, kwenye kipindi cha Supa Breakfast ya East Africa Radio na kuongeza kuwa hata hivyo tayari Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekwishaviandikia barua vyama hivyo kwa kuwa ni masuala ya kiofisi huwa hawaziweki barua hizo hadharani.

"Kwanza tunaawaasa hao wanaotaka kufanya hivyo tarehe 3 sisi kama walezi wa vyama vya siasa kwa sababu wanakiuka sheria, walianza vizuri hivyo kila mmoja aendelee kunadi sera yake na wagombea wao wa urais", alisema Nyahoza.

Amesema sheria ya vyama vya siasa inawekwa kwa maslahi ya wanachama na wananchi na unapotaka kushirikiana hutakiwi kufanya kitendo chochote kinachohadaa wananchi kwa hiyo ni kosa kufanya hivyo ghafla wakati wa uchaguzi.

“Ukiunganisha nguvu na chama kingine wakati mmeshakubaliana na wananchi kwamba mtatekeleza sera gani ni kuwahadaa, sisi tulishawasiliana nao na tukawaambia waache," alisema Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Nyahoza.

Vyama vya siasa vya upinzani vya ACT-Wazalendo na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) vimekuwa vikitajwa kuwa na mpango wa kumuunga mkono mgombea mmoja wa urais Oktoba 3, licha ya kuwa vyama vyote hivyo vimeshasimamisha wagombea wao wa urais.
jiwe Tulia dawa iingie lissu anakudunga sindano za farasi
 
Attachments

  • IMG_20200929_150718.jpg
    IMG_20200929_150718.jpg
    37.5 KB · Views: 1
Tena ?
Sometimes nawaza labda kutokuwepo kwa Tume kungekuwa heri, kuliko uwepo wa hii Tume....

That's my Humble Opinion..., kwahio msinihukumu kwa kuwa na mawazo kuligana na upeo wao (nadhani badi haki hio ninayo)
 
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na kwamba walianza vizuri hivyo ni vyema kila mmoja akaendelea kunadi sera zake.

Nyahoza ametoa kauli hiyo hii leo Oktoba Mosi, 2020, kwenye kipindi cha Supa Breakfast ya East Africa Radio na kuongeza kuwa hata hivyo tayari Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekwishaviandikia barua vyama hivyo kwa kuwa ni masuala ya kiofisi huwa hawaziweki barua hizo hadharani.

"Kwanza tunaawaasa hao wanaotaka kufanya hivyo tarehe 3 sisi kama walezi wa vyama vya siasa kwa sababu wanakiuka sheria, walianza vizuri hivyo kila mmoja aendelee kunadi sera yake na wagombea wao wa urais", alisema Nyahoza.

Amesema sheria ya vyama vya siasa inawekwa kwa maslahi ya wanachama na wananchi na unapotaka kushirikiana hutakiwi kufanya kitendo chochote kinachohadaa wananchi kwa hiyo ni kosa kufanya hivyo ghafla wakati wa uchaguzi.

“Ukiunganisha nguvu na chama kingine wakati mmeshakubaliana na wananchi kwamba mtatekeleza sera gani ni kuwahadaa, sisi tulishawasiliana nao na tukawaambia waache," alisema Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Nyahoza.

Vyama vya siasa vya upinzani vya ACT-Wazalendo na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) vimekuwa vikitajwa kuwa na mpango wa kumuunga mkono mgombea mmoja wa urais Oktoba 3, licha ya kuwa vyama vyote hivyo vimeshasimamisha wagombea wao wa urais.
msajili aache kuweweseka nani wanaungana,mbona hata jana jiwe alimwomba sugu amsugue vizuri c alikuwa anataka amuunge au nikusuguliwa kiaje
 
Huwezi kuzuia vyama visisaidiane kiitikadi. UDP na TLP wamesapoti CCM kwanini msajili anazuia kitu kama hicho kwa ACT na CDM?! Hata jana tu tumemsikia magu akimwomba Sugu amsugue huko Mbeya. Acheni udhalimu nyie.
Muwe mnasoma taarifa za tume,sio kukurupaka na kumwaga mapovu bure.Taarifa ya juzi,tume ilisema imewaandikia barua TPL ya kujieleza kwa nini wanamnadi mgombea wa CCM wakati wenyewe wana mgombea?
 
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na kwamba walianza vizuri hivyo ni vyema kila mmoja akaendelea kunadi sera zake.

Nyahoza ametoa kauli hiyo hii leo Oktoba Mosi, 2020, kwenye kipindi cha Supa Breakfast ya East Africa Radio na kuongeza kuwa hata hivyo tayari Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekwishaviandikia barua vyama hivyo kwa kuwa ni masuala ya kiofisi huwa hawaziweki barua hizo hadharani.

"Kwanza tunaawaasa hao wanaotaka kufanya hivyo tarehe 3 sisi kama walezi wa vyama vya siasa kwa sababu wanakiuka sheria, walianza vizuri hivyo kila mmoja aendelee kunadi sera yake na wagombea wao wa urais", alisema Nyahoza.

Amesema sheria ya vyama vya siasa inawekwa kwa maslahi ya wanachama na wananchi na unapotaka kushirikiana hutakiwi kufanya kitendo chochote kinachohadaa wananchi kwa hiyo ni kosa kufanya hivyo ghafla wakati wa uchaguzi.

“Ukiunganisha nguvu na chama kingine wakati mmeshakubaliana na wananchi kwamba mtatekeleza sera gani ni kuwahadaa, sisi tulishawasiliana nao na tukawaambia waache," alisema Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Nyahoza.

Vyama vya siasa vya upinzani vya ACT-Wazalendo na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) vimekuwa vikitajwa kuwa na mpango wa kumuunga mkono mgombea mmoja wa urais Oktoba 3, licha ya kuwa vyama vyote hivyo vimeshasimamisha wagombea wao wa urais.
Atulize makalio yake
 
Yaan kwa sheria hii inatakiwa mpiga kura ampigie kura rais, mbunge, na diwani wa chama kimoja hata kama wabovu. Haitaki chaguo kama langu la

Rais: CHADEMA
Mbunge: CCM
Diwani: CCM

Hii sheria inakiuka haki yangu ya kuchagua au kuchaguliwa
 
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na kwamba walianza vizuri hivyo ni vyema kila mmoja akaendelea kunadi sera zake.

Nyahoza ametoa kauli hiyo hii leo Oktoba Mosi, 2020, kwenye kipindi cha Supa Breakfast ya East Africa Radio na kuongeza kuwa hata hivyo tayari Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekwishaviandikia barua vyama hivyo kwa kuwa ni masuala ya kiofisi huwa hawaziweki barua hizo hadharani.

"Kwanza tunaawaasa hao wanaotaka kufanya hivyo tarehe 3 sisi kama walezi wa vyama vya siasa kwa sababu wanakiuka sheria, walianza vizuri hivyo kila mmoja aendelee kunadi sera yake na wagombea wao wa urais", alisema Nyahoza.

Amesema sheria ya vyama vya siasa inawekwa kwa maslahi ya wanachama na wananchi na unapotaka kushirikiana hutakiwi kufanya kitendo chochote kinachohadaa wananchi kwa hiyo ni kosa kufanya hivyo ghafla wakati wa uchaguzi.

“Ukiunganisha nguvu na chama kingine wakati mmeshakubaliana na wananchi kwamba mtatekeleza sera gani ni kuwahadaa, sisi tulishawasiliana nao na tukawaambia waache," alisema Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Nyahoza.

Vyama vya siasa vya upinzani vya ACT-Wazalendo na Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) vimekuwa vikitajwa kuwa na mpango wa kumuunga mkono mgombea mmoja wa urais Oktoba 3, licha ya kuwa vyama vyote hivyo vimeshasimamisha wagombea wao wa urais.

Msajili anagombea akiwa na chama gani?

Mbona mipango ya wengine ina mjambisha mfululizo?
 
msajili aache kuweweseka nani wanaungana,mbona hata jana jiwe alimwomba sugu amsugue vizuri c alikuwa anataka amuunge au nikusuguliwa kiaje
Kwa Magufuli kuomba kuchaguliwa na CHADEMA na vyama vingine naye amekiuka sheria hii. WanaCHADEMA wakisema watamchagua nao watakuwa wamevunja sheria.

Natamani Sugu atoke hadharani aseme nitakuchagua ili nikusugue vizuri
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
Got you my man!

X = Clown
 
Huwezi kuzuia vyama visisaidiane kiitikadi. UDP na TLP wamesapoti CCM kwanini msajili anazuia kitu kama hicho kwa ACT na CDM?! Hata jana tu tumemsikia magu akimwomba Sugu amsugue huko Mbeya. Acheni udhalimu nyie.
Lissu ameshawaambia kilicho halali kwa Magufuli na kwa Lissu ni halali, halali kwa CCM na kwa CHADEMA ni halali!
 
Back
Top Bottom