Pre GE2025 Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nikisema ccm ni wajinga mnielewe. Sione sababu za msingi za kuwazui hawa vijana wazalendo
 
Msajikiwa ccm
Kwa mamlaka gani alionayo km sio anapokea maagizo kutoka inzi wa kijani
 
Msitufokee,mlikuwa mnasema mbaya wenu alikuwa Magufuli, baada ya kifo cheke mlifanya sherehe kuwa mnakwenda kula kuku kwa mrija dhalimu hayupo tena, Sasahivi haya mnayatoa wapi, maana Mama yenu kipenzi na Serikali yake hawana shida.

Hakuna anayekufokea ni stress zako na hasira.
 
ni muhimu kuzuia viashiria vyoyote vya uvunjifu wa amani mapema,

kongole sana msajili wa vyama vya siasa, kongole Jeshi letu tukufu la police kuwakabili wahalifu hao na kuwasambaratisha mapema kabla ya ujambazi na uharibifu waliokusudia kuufanya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…