Msajili wa Hazina: Serikali kuyafuta Mashirika na Taasisi 40 za Umma zinazozalisha hasara na kutegemea ruzuku ya Serikali kuu

Sasa sijui Nyerere au Rais mwingine angezuiaje, watu/population inakua exponentially wewe utazuiaje? Waende wakakae sehemu gani na kufuatana na culture zao? Huwezi kubadirisha culture ya mtu labda uwe na incentive kubwa sana, otherwise ni discrimination, ati Ngorongoro ni heritage, sawa, na bila ya wamasai haiwi tena; Ngorongoro = Wamasai= Heritage huwezi kutenganisha. Come with a huge incentive siyo kuja na vibanda ati ndiyo masai anataka; it is more than that!
Wahamishwe mazima ,kwani sehemu ya kuishi ni huko hifadhini tuu?
 
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu.

Serikali inakusudia kusalia na mashirika makini yanayoweza Kuzalisha faida na kukuza Uchumi badala ya kuwa na utitiri wa mashirika mzigo.

===

Nehemia Mchechu, the Treasury registrar, said this at a press briefing ahead of a workshop for board chairmen and chief executives of parastatal organisations starting today.

President Samia Suluhu Hassan will officiate at the opening of the workshop, intended to review the status of institutions that fail to contribute to government revenue, while there is a need to reduce dependency on government funds.

The Treasury Registrar’s office expects to see a decrease in the number of institutions reliant on government support, for instance as regards salaries and operational costs.

This implies reducing 30 to 40 institutions, he said, noting that if the exercise is successful it will encourage contributors to budgetary funds to increase their contributions, in expectation that the government would have sufficient funds to deliver essential social services.

He explored the TR’s role as custodian of public investments overseeing 248 public organisations and 58 other entities where the government also holds shares.

The total book value of public investments stands at 76trn/- as the registrar closes accounts for this year, he said.

The 76trn/- public investments are central to the country’s economy, he said, pointing out that managements of public investments oversee non-tax revenue, sourcing over 95 percent of non-tax revenues.

Affirming the importance of the meeting, he said the consultations facilitate changes and improvements in the management of public institutions.

The number of institutions contributing dividends to the government had increased from 109 to 145 during the past financial year, while this year the registrar intends to strengthen board training, new guidelines and enhanced residential support.

The meeting will feature presentations from local and international speakers, examining how public institutions can explore investments beyond Tanzania’s borders, he said.

Various topics will be covered, offering participants opportunities to exchange experiences, review resolutions from last year's meeting, reaffirm government expectations and plan strategies for the current year, he added.

The Guardian

My Take
Naunga mkono hoja,hii ndio maana ya Serikali ya Mageuzi inayoongozwa na Rais Samia. Tuwape muda na ATCL,TRC na TAZARA Ili nao wakishindwa, shughuli zao Wapewe sekta binafsi badala ya kuchukua Kodi yetu kwenda kuyaendeshea.

Pakistan wameweza kuuza Shirika lao la ndege ,Tanzania tunang'ang'ania hasara Kwa faida ya nani?
Ccm ndio balaa kubwa ktk taifa hili. Utashangaa pale ambapo tumeshawekeza mabilioni au matrilioni watagawa kwa bei ya kutupa. Ni kweli mashirika haya yanatia hassra, lakini tutakapo yauza/kubinafsisha tupate thamani halisi, sio kugawia makada na wafadhili wa ccm. Na nawashanga, kwa mfano Atcl tunajua inatia hasara lakini bado tunaendelea kuagiza ndege za nini?
 
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu.

Serikali inakusudia kusalia na mashirika makini yanayoweza Kuzalisha faida na kukuza Uchumi badala ya kuwa na utitiri wa mashirika mzigo.

===

Nehemia Mchechu, the Treasury registrar, said this at a press briefing ahead of a workshop for board chairmen and chief executives of parastatal organisations starting today.

President Samia Suluhu Hassan will officiate at the opening of the workshop, intended to review the status of institutions that fail to contribute to government revenue, while there is a need to reduce dependency on government funds.

The Treasury Registrar’s office expects to see a decrease in the number of institutions reliant on government support, for instance as regards salaries and operational costs.

This implies reducing 30 to 40 institutions, he said, noting that if the exercise is successful it will encourage contributors to budgetary funds to increase their contributions, in expectation that the government would have sufficient funds to deliver essential social services.

He explored the TR’s role as custodian of public investments overseeing 248 public organisations and 58 other entities where the government also holds shares.

The total book value of public investments stands at 76trn/- as the registrar closes accounts for this year, he said.

The 76trn/- public investments are central to the country’s economy, he said, pointing out that managements of public investments oversee non-tax revenue, sourcing over 95 percent of non-tax revenues.

Affirming the importance of the meeting, he said the consultations facilitate changes and improvements in the management of public institutions.

The number of institutions contributing dividends to the government had increased from 109 to 145 during the past financial year, while this year the registrar intends to strengthen board training, new guidelines and enhanced residential support.

The meeting will feature presentations from local and international speakers, examining how public institutions can explore investments beyond Tanzania’s borders, he said.

Various topics will be covered, offering participants opportunities to exchange experiences, review resolutions from last year's meeting, reaffirm government expectations and plan strategies for the current year, he added.

The Guardian

My Take
Naunga mkono hoja,hii ndio maana ya Serikali ya Mageuzi inayoongozwa na Rais Samia. Tuwape muda na ATCL,TRC na TAZARA Ili nao wakishindwa, shughuli zao Wapewe sekta binafsi badala ya kuchukua Kodi yetu kwenda kuyaendeshea.

Pakistan wameweza kuuza Shirika lao la ndege ,Tanzania tunang'ang'ania hasara Kwa faida ya nani?
Wanao yaua ni wao na watafanya njama wayafute yale yalionona ili wayanunue wao akina Abduli.
 
Hauko serious,Kawe hawakusahau Bali Mwendazake alichujuaga pesa zao na pia aliwapiga stop kwenye biashara ya nyumba.

Ila Kwa Sasa hapo Kawe mambo Iko hivi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_I9NWANH8h/?igsh=Z3V2Mjc5NjBnM29w

Magufuli aliamini hayo majengo ya Kawe ni mradi wa Kikwete hivyo alizuia yasiendelezwe akiamini anamkomoa Mkwere. Hata suala la bandari ya Bagamoyo alilishwa matango pori na ikawa rahisi kwake kuamini kwani mawazo yake yalikuwa tayari ni kuukata uwekezaji ule.

Alikuja kugundua kuwa kaingizwa chaka na akamtimua Mkurugenzi wa TISS Kipilimba.
 
🚮🚮🚮
Hasara ya ATCL inakwenda ikipungua kila mwaka kuanzia mwaka ule lilipoanzishwa upya.

Ndani ya miaka michache sana ijayo hasara hiyo itakuwa imekwisha. Masoko ya bidhaa zenye kuhitaji kusafirishwa kwa ndege yanazidi kupatikana.

Wanatakiwa kuwa makini kwenye upangaji wa ratiba zao, haya masuala ya kulaza abiria kwenye viti vya airport ni ya kumalizwa mapema sana. Uendeshaji unahitaji mapinduzi .
 
Tunasubiri utekelezaji hapo. Zisije zikawa ni matamko tu kama ripoti ya CAG.
 
yataje kwa majina na hasara kiasi gani? ushauri wangu tuvunje board na kufuta kazi management tuwele zingine kwanza
Tangu enzi ya Nyerere hapajawahi kuwa na management ya Mswahili ikafanya vizuri hiyo ni ndoto.
Halafu usije ukadhani management nzuri inapatikana kwa kufanyisha interview wasomi wenye mavyeti mazito ni kazi bure,shida ni ukosefu wa uzalendo pamoja na uaminifu.
Hakuna ubunifu kila mtu anawaza kuiba bila kuangalia future wanawaza leo tu.
 
Air Tanzana haipo tena.... Ipo Air Zanzibar hivi sasa. 😆
 
lkn kama mashirika ya serikali yakishindwa wakuondolewa ni raisi kwa maana ndiye aliyeshindwa, raisi ndiye mkuu wa mashirika ya umma karibia yote hivyo kushindwa kunatokana na uongozi mbovu na incompetency upande wake …
 
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu.

Serikali inakusudia kusalia na mashirika makini yanayoweza Kuzalisha faida na kukuza Uchumi badala ya kuwa na utitiri wa mashirika mzigo.

===

Nehemia Mchechu, the Treasury registrar, said this at a press briefing ahead of a workshop for board chairmen and chief executives of parastatal organisations starting today.

President Samia Suluhu Hassan will officiate at the opening of the workshop, intended to review the status of institutions that fail to contribute to government revenue, while there is a need to reduce dependency on government funds.

The Treasury Registrar’s office expects to see a decrease in the number of institutions reliant on government support, for instance as regards salaries and operational costs.

This implies reducing 30 to 40 institutions, he said, noting that if the exercise is successful it will encourage contributors to budgetary funds to increase their contributions, in expectation that the government would have sufficient funds to deliver essential social services.

He explored the TR’s role as custodian of public investments overseeing 248 public organisations and 58 other entities where the government also holds shares.

The total book value of public investments stands at 76trn/- as the registrar closes accounts for this year, he said.

The 76trn/- public investments are central to the country’s economy, he said, pointing out that managements of public investments oversee non-tax revenue, sourcing over 95 percent of non-tax revenues.

Affirming the importance of the meeting, he said the consultations facilitate changes and improvements in the management of public institutions.

The number of institutions contributing dividends to the government had increased from 109 to 145 during the past financial year, while this year the registrar intends to strengthen board training, new guidelines and enhanced residential support.

The meeting will feature presentations from local and international speakers, examining how public institutions can explore investments beyond Tanzania’s borders, he said.

Various topics will be covered, offering participants opportunities to exchange experiences, review resolutions from last year's meeting, reaffirm government expectations and plan strategies for the current year, he added.

The Guardian

My Take
Naunga mkono hoja,hii ndio maana ya Serikali ya Mageuzi inayoongozwa na Rais Samia. Tuwape muda na ATCL,TRC na TAZARA Ili nao wakishindwa, shughuli zao Wapewe sekta binafsi badala ya kuchukua Kodi yetu kwenda kuyaendeshea.

Pakistan wameweza kuuza Shirika lao la ndege ,Tanzania tunang'ang'ania hasara Kwa faida ya nani?
Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu....Tanzania ni Tanzania na Pakistan ni Pakistan, sijui umeelewa.
 
Tanzania nadhani bado hatuja pata faida toka kwenye ndege zetu tulizo zinunua hivi karibuni
 
Back
Top Bottom