Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Nilijua tu. Siku aliposimama na kumtetea Ndugai kuwa uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi ya uspika na namna ulivyofanyika ni kinyume na katiba ndio ilikuwa mwisho wake kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri anarudi 2025 uje umpigie kura awe mbunge, akikosa anarudi tena Ulaya.lema sio size yako wewe mataga la ccm
Acha ya mkute "MNAFIKI" huyu enzi za mwenda zake alianza kupambana na upinzani....Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia.
Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Jeshi la Wokovu Kurasini na miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni pamoja na kumsimamisha James Mbatia kujihusisha na shughuli za chama.
Hata hivyo, Septemba 24, mkutano mkuu maalum wa NCCR Mageuzi uliofanyika jijini Dodoma ulimvua uanachama James Mbatia na kumfuta uongozi aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Angelina Rutairwa.
Mwananchi limeiona barua iliyotoka ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa nchini na kusainiwa na Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza ikihalalalisha mabadiliko ya viongozi hao wakuu wa chama hicho kikongwe cha upinzani nchini.
Katika barua hiyo iliyoandikwa Oktoba 24, msajili ameeleza kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23, 26, 28 na 31(2) ya Kanuni na Usajili na Ufuatiliaji wa Vyama vya Siasa, vikao hivyo vya mabadiliko ya uongozi ndani ya chama yalifanyika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na katiba ya NCCR Mageuzi.
“Msajili wa Vyama vya Siasa ameridhika kuwa kikao cha halmashauri kuu ya chama chenu cha Septemba 23, kikao cha halmashauri kuu cha Septemba 24 na mkutano mkuu wa Septemba 24 uliofanya mabadiliko ya uongozi na katiba ya chama chenu yalifanyika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa,” inasomeka sehemu ya barua hiyo iliyotolewa na msajili.
Akizungumza na wanahabari hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa NCCR (Bara) Joseph Selasini alisema sasa umefika wakati mtu yeyote atakayeongea na kujitambulisha kama kiongozi wa chama kinyume na utaratibu, sheria itafuata mkondo wake.
“Imefika wakati sasa msajili afuate sheria, kuna mkakati uliopo kuhakikisha vurugu ndani ya chama hiki haziishi, tunamwomba Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) kuyafanyia kazi malalamiko yetu,” alisema Selasini.
Kuanzia Novemba 7, alisema chama hicho kitaanza ziara ya kwenda mikoani na kumtaka IGP pamoja na wasaidi wake kushughulikia taarifa zilizopo mezani kwake kwa kuwa maisha yao yapo rehani lich ay akutekeleza wajibu wao wa kikatiba kufanya shughuli halali.
“Baada ya kukamilisha vikao vyetu jijini Dodoma ukiwamo mkutano mkuu, sheria inasema kabla ya mkutano unatakiwa kupeleka taarifa kwa msajili siku 28 kabla ya kufanyika mkutano na tulifanya hivyo,”
“Lakini, siku 14 baada ya mutano unatakiwa kupeleka taarifa ya kilichojiri ambapo sisi tulipeleka taarifa ya mkutano na mabadiliko ya uongozi Septemba 28,” alisema Selasini.
Gazeti hili lilimtafuta Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi aliyesema hayupo ofisini, hata hivyo Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza alikiri kuwa barau hiyo imetoka ofisini kwao.
Alipotafutwa Mbatia alisema jambo lolote linapokuwa mahakamani hawezi kulizungumzia kwani hata Bunge lenyewe haliwezi kuzugumzia jambo hilo.
Alisema kwa kitendo kilichofanywa na ofisi ya msajili, ni kuingilia mahakama na akataka wananchi kujifunza ukweli kwamba tawala wa sheria haupo wala kuzingatiwa nchini.
“Mimi niseme tu haya niliyategemea, kama msajili amefanya hivyo, anatangaza kila mtu ajichukulie sheria mkononi, sitaki kuwa sehemu ya kujadili mambo yaliyoko mahakamani,” alisema Mbatia.
Kwa mujibu wa kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho, miongoni mwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili Mbatia ni pamoja na kuuza mali za chama kinyume na utaratibu yakiwamo mashamba na nyumba zilizopo maeneo tofauti nchini pamoja na kuchochea migogoro ndani ya chama hicho jambo ambalo h alikubaliki kwa mujibu wa katiba yao hata sheria za nchi.
MWANANCHI
Ni swala la muda tu.. Zito hana umaarufu/mtaji wa kisiasa..Zitto ni mwamba kwenye game ya siasa, utasubiri sana. Huyo jamaa huaga hakurupuki. Lema kilasiku anapandikiza chuki kwa Misukule yake, lakini wapi Zitto hakamatiki anazidi kuwachanganya.
ZZK hana shida ni mamluki wa kudumu! Ben Saanane huko aliko anamjua. Siku si nyingi mtaelewa umoja wa wauaji wanaoshirikiana na vibaraka wa siasa!ZZK aisome hii kwa tafakuri kubwa
Jamani watu muna-maneno nyieee... lakini lisemwalo "LAZIMA" lipo...ZZK hana shida ni mamluki wa kudumu! Ben Saanane huko aliko anamjua. Siku si nyingi mtaelewa umoja wa wauaji wanaoshirikiana na vibaraka wa siasa!
CCM inawapa somo vyama vingine wasithubutu kuonesha upinzani wa kweli.Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia.
Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Jeshi la Wokovu Kurasini na miongoni mwa ajenda zilizojadiliwa ni pamoja na kumsimamisha James Mbatia kujihusisha na shughuli za chama.
Hata hivyo, Septemba 24, mkutano mkuu maalum wa NCCR Mageuzi uliofanyika jijini Dodoma ulimvua uanachama James Mbatia na kumfuta uongozi aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Angelina Rutairwa.
Mwananchi limeiona barua iliyotoka ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa nchini na kusainiwa na Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza ikihalalalisha mabadiliko ya viongozi hao wakuu wa chama hicho kikongwe cha upinzani nchini.
Katika barua hiyo iliyoandikwa Oktoba 24, msajili ameeleza kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23, 26, 28 na 31(2) ya Kanuni na Usajili na Ufuatiliaji wa Vyama vya Siasa, vikao hivyo vya mabadiliko ya uongozi ndani ya chama yalifanyika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na katiba ya NCCR Mageuzi.
“Msajili wa Vyama vya Siasa ameridhika kuwa kikao cha halmashauri kuu ya chama chenu cha Septemba 23, kikao cha halmashauri kuu cha Septemba 24 na mkutano mkuu wa Septemba 24 uliofanya mabadiliko ya uongozi na katiba ya chama chenu yalifanyika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa,” inasomeka sehemu ya barua hiyo iliyotolewa na msajili.
Akizungumza na wanahabari hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa NCCR (Bara) Joseph Selasini alisema sasa umefika wakati mtu yeyote atakayeongea na kujitambulisha kama kiongozi wa chama kinyume na utaratibu, sheria itafuata mkondo wake.
“Imefika wakati sasa msajili afuate sheria, kuna mkakati uliopo kuhakikisha vurugu ndani ya chama hiki haziishi, tunamwomba Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) kuyafanyia kazi malalamiko yetu,” alisema Selasini.
Kuanzia Novemba 7, alisema chama hicho kitaanza ziara ya kwenda mikoani na kumtaka IGP pamoja na wasaidi wake kushughulikia taarifa zilizopo mezani kwake kwa kuwa maisha yao yapo rehani lich ay akutekeleza wajibu wao wa kikatiba kufanya shughuli halali.
“Baada ya kukamilisha vikao vyetu jijini Dodoma ukiwamo mkutano mkuu, sheria inasema kabla ya mkutano unatakiwa kupeleka taarifa kwa msajili siku 28 kabla ya kufanyika mkutano na tulifanya hivyo,”
“Lakini, siku 14 baada ya mutano unatakiwa kupeleka taarifa ya kilichojiri ambapo sisi tulipeleka taarifa ya mkutano na mabadiliko ya uongozi Septemba 28,” alisema Selasini.
Gazeti hili lilimtafuta Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi aliyesema hayupo ofisini, hata hivyo Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza alikiri kuwa barau hiyo imetoka ofisini kwao.
Alipotafutwa Mbatia alisema jambo lolote linapokuwa mahakamani hawezi kulizungumzia kwani hata Bunge lenyewe haliwezi kuzugumzia jambo hilo.
Alisema kwa kitendo kilichofanywa na ofisi ya msajili, ni kuingilia mahakama na akataka wananchi kujifunza ukweli kwamba tawala wa sheria haupo wala kuzingatiwa nchini.
“Mimi niseme tu haya niliyategemea, kama msajili amefanya hivyo, anatangaza kila mtu ajichukulie sheria mkononi, sitaki kuwa sehemu ya kujadili mambo yaliyoko mahakamani,” alisema Mbatia.
Kwa mujibu wa kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho, miongoni mwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili Mbatia ni pamoja na kuuza mali za chama kinyume na utaratibu yakiwamo mashamba na nyumba zilizopo maeneo tofauti nchini pamoja na kuchochea migogoro ndani ya chama hicho jambo ambalo h alikubaliki kwa mujibu wa katiba yao hata sheria za nchi.
MWANANCHI
Duuu naona sahani yako ya ugali wamenyang'anya awamu hiiHakuna aliyepinga awamu hii hadharani akabakia salama.
Uvumilivu ni msamiati wa viongozi wa awamu hii.
Ni waoga wa kukosolewa wanahisi kama nafasi zao zinawekwa hatarani hivyo ni lazima wakuadabishe ukiwapinga.
Demokrasia hakuna kabisa awamu hii kama tunavyoaminishwa.
Huo wimbo hamkuanza Leo kuimba.Ni swala la muda tu.. Zito hana umaarufu/mtaji wa kisiasa..