Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

Nilijua tu. Siku aliposimama na kumtetea Ndugai kuwa uamuzi wake wa kujiuzulu nafasi ya uspika na namna ulivyofanyika ni kinyume na katiba ndio ilikuwa mwisho wake kisiasa.
 
Hakuna aliyepinga awamu hii hadharani akabakia salama.

Uvumilivu ni msamiati wa viongozi wa awamu hii.

Ni waoga wa kukosolewa wanahisi kama nafasi zao zinawekwa hatarani hivyo ni lazima wakuadabishe ukiwapinga.

Demokrasia hakuna kabisa awamu hii kama tunavyoaminishwa.
 
Acha ya mkute "MNAFIKI" huyu enzi za mwenda zake alianza kupambana na upinzani....
 
Zitto ni mwamba kwenye game ya siasa, utasubiri sana. Huyo jamaa huaga hakurupuki. Lema kilasiku anapandikiza chuki kwa Misukule yake, lakini wapi Zitto hakamatiki anazidi kuwachanganya.
Ni swala la muda tu.. Zito hana umaarufu/mtaji wa kisiasa..
 
ZZK aisome hii kwa tafakuri kubwa
ZZK hana shida ni mamluki wa kudumu! Ben Saanane huko aliko anamjua. Siku si nyingi mtaelewa umoja wa wauaji wanaoshirikiana na vibaraka wa siasa!
 
ZZK hana shida ni mamluki wa kudumu! Ben Saanane huko aliko anamjua. Siku si nyingi mtaelewa umoja wa wauaji wanaoshirikiana na vibaraka wa siasa!
Jamani watu muna-maneno nyieee... lakini lisemwalo "LAZIMA" lipo...
 
CCM inawapa somo vyama vingine wasithubutu kuonesha upinzani wa kweli.

Kinachoendelea sasa ni kutimua wachawi wa watawala popote walipo. Hata ndoa zinaweza kuvunjwa kwa maslahi ya chama
 
Duuu naona sahani yako ya ugali wamenyang'anya awamu hii
 
naunga mkono hoja, Mbatia hafai ni bora aondoke tu, anaweza kwenda kufanya kazi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…