Exactly!Basi huenda hili lilikuwa agizo ili wseme hata CCM inachukuliwa hatua na niliwaza hivi baada ya ile kauli ya Mary Chatanda.
Hawa watu ni primitive sana.Exactly!
Halafu, huyo msajili naye ni CCM.
Hatudanganyiki na hatutohadaika.
Africa has faced a lot of pandemics but being led by stupid leaders is another kind of pandemics we have never talked about.Exactly!
Halafu, huyo msajili naye ni CCM.
Hatudanganyiki na hatutohadaika.
Na kwa kukuongezea , hao watu ni Old Stone Age - cave men, Zinjanthropus watupu…hata Chaba kawazidi maarifa…Hawa watu ni primitive sana.
Kwa tabu sana na kujilazimisha mnoKauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua.
Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.
View attachment 3591897
Unapongeza barua tu ?...kazi kweli kwelinampongeza msajili huu ni ukuaji wa demokrasia za utulivu nchini
Mshamba tu, ana balance shobo wakati kila mtu anajua anatumika kipuuzi na ccm.nampongeza msajili huu ni ukuaji wa demokrasia za utulivu nchini
Hii wameisuka ili kuondoa aibu walifanya hivyo kwa chademaUpuuzi MTUPU kutoka kwa msajili ambaye inajulikana ni kada mtiifu wa ccm
Mimi nafikiri wavifute vyoteKauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua.
Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.
View attachment 3591897