Msajili wa vyama aiandikia barua CCM kuhusu kauli ya Chatanda

Msajili wa vyama aiandikia barua CCM kuhusu kauli ya Chatanda

Tototoo danganya toootoo shenzi kabisa. Huyu kitanda empty box. Please yule aliyetunga wimbo wa mzee ndecha fanya kwa kitanda please.
 
Kauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua.

Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.

View attachment 3591897
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Kama aliweza kumshawishi Marehem bi Komu kufungua kesi dhidi ya CHADEMA,atashindwaje kutengeneza la hili Chatanda kuongea hivyo ili wa balance matukio.
Unajua plan za hawa jamaa rahisi kujulikana maana wanaishi kwa kukariri na kutojua kwamba hatupo kwenye zama za stone age.
 
Kauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua.

Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.

View attachment 3591897

Hakuna kitu kama hicho. Kama ni kweli tuwekee hapa tuione. !! Sione mtu huko Msajili wa Vyama anayeweza kuandika au kusaini hiyo batua. Unless ni geresha ya kuachana na barua ya Chadema.
 
Kwa nini wasidili na mhusika mwenyewe coz nachojua hii ni danganya toto wametuziba macho huku wanatuzomea. A black ant cant bite a black ant. Na anatuma after kuwa ameshikinizwa na watu kukemea hilo jambo vinginevyo hangefanya hivo. Lakin hngekua n chadema ni cku hiyo hiyo unaskia mambo na mabarua cjui ni barua za uchumba wanataka. Mafala sana hao watu
 
Back
Top Bottom